Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na kazi yenyewe!..Kuna kitu kinaitwa KITAMBULISHO CHA MKAZI, kinatolewa ofisi za kata!mdhamini wangu hana kadi ya kupigia kura ,hana pasi ya kusafiria na hana kitambulisho cha utaifa lakini ana kitambulidho cha kazi! je tunaweza kutumia hicho kama kiambatanisho?