Hakuna viungo vya mtoto vilivyotoka hapo, ile sindano ya depo provera ni manufactured hormones sawa na zile zinazozalishwa na miili yetu. Hakuna madhara yoyote kwenye embryogenesis.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimba imeingia kwa uwezo wa Roho Mtakatifu
iyo nayo ni KOKOROHELLO WA MMU
Jamani nina shida inanisumbua kichwa mpka na usingizi nimekosa...iko hivi wife wangu alijifungua 28/06/2016...baada ya mwezi mmoja na ka wiki mbili 15/08/2016 akchoma sindano ya kuzuia mimba...kuanzia hapo nikawa nagegeda kama kawaida.
sindano hii hufanya kazi kwa miezi mitatu kwa hiyo ingeisha matumizi 15/11/2016.kipindi chote hicho amekuwa akiona hedhi yake kama kawaida kila ifikapo...kila mwezi..mara ya mwisho nimesex naye 28/10/2016 niliondoka na kwenda masomoni na mwezi wa 11 ameona siku zake kama kawaida...
kinachonichanganya ni kwamba mwezi huu wa 12 hajaona siku zake...Jana kapima mwenyewe kajikuta ana mimba..na sasa hv anahisi kama mtoto anacheza..tarehe 15/11/2016 alichoma sindano nyingine ya kuzuia mimba....
wadau naombeni mnisaidie hapa ushauri....hii mimba imeingiaingiaje wakati mara zote hizo bleed ameona??na mara ya mwisho kulala naye bleed kaona...sasa baada ya mwezi ndo ananiambia ana mimba?
Naomba kujua je unaweza kuwa na mimba na hedhi ikatoka kama kawaida?mtoto tuliyeko naye ana miezi mitano
miss chagga....mkuu ipo hiyo mimba ikawepo na bado ukapata hedhi .. hata me ilinitokea mpaka nikafika miezi mitano ikaacha ni yako hiyo
abeemiss chagga....
yaani umesema jambo liliwahi kutokea kwetu kama kwako!abee
ndiyo mkuu kuna dawa nilipewa za kunywa ila nakawa mzembe kunywa kwa hiyo wakati mwingine naingia mp kawaida.. ila nilivyofika miezi mitano ikaacha kabisa.. japo dokta aliniambia ni dalili za miscarriage siyo jambo zuriyaani umesema jambo liliwahi kutokea kwetu kama kwako!
Mh! kama mlizaliwa na baba mmoja kwa tabia hiyo....ndiyo mkuu kuna dawa nilipewa za kunywa ila nakawa mzembe kunywa kwa hiyo wakati mwingine naingia mp kawaida.. ila nilivyofika miezi mitano ikaacha kabisa.. japo dokta aliniambia ni dalili za miscarriage siyo jambo zuri
ha haha mkuu usiseme hivyo.. kama mnahitaji mtoto aende hospital watampa dawa ameze ila sasa hizo dawa mh za kunywa kila siku yani zinatia uvivu na karaha... ajitahidi anyweMh! kama mlizaliwa na baba mmoja kwa tabia hiyo....
nimemwambia 'astaafu' hayo mambo maana hali ya uchumi kwa sasa mpaka miaka 9 ipite ni mbaya..ha haha mkuu usiseme hivyo.. kama mnahitaji mtoto aende hospital watampa dawa ameze ila sasa hizo dawa mh za kunywa kila siku yani zinatia uvivu na karaha... ajitahidi anywe
kwa hiyo mnaenda kuchoropoa?nimemwambia 'astaafu' hayo mambo maana hali ya uchumi kwa sasa mpaka miaka 9 ipite ni mbaya..