Msaada: Hii mimba imetokeaje?

Msaada: Hii mimba imetokeaje?

Unataka kujua nin?wakati ilo suala ni lakawaida?
 
Hakuna viungo vya mtoto vilivyotoka hapo, ile sindano ya depo provera ni manufactured hormones sawa na zile zinazozalishwa na miili yetu. Hakuna madhara yoyote kwenye embryogenesis.


Ashukuriwe Mungu kwa hilo mana huwa tunatushwa sana kwa sisi ambao hatuna elimu ya kutosha juu ya huo mpango wa uzazi.
Kila unaye kutana naye ana mtazamo tofauti hata hao wataalamu wa afya so huwa inaniwia vigumu kujua ukweli.
 
Ilipotimia mwezi mmoja na wiki mbili ndio alienda kuchoma sindano ina maana walianza kabla.
 
HELLO WA MMU
Jamani nina shida inanisumbua kichwa mpka na usingizi nimekosa...iko hivi wife wangu alijifungua 28/06/2016...baada ya mwezi mmoja na ka wiki mbili 15/08/2016 akchoma sindano ya kuzuia mimba...kuanzia hapo nikawa nagegeda kama kawaida.

sindano hii hufanya kazi kwa miezi mitatu kwa hiyo ingeisha matumizi 15/11/2016.kipindi chote hicho amekuwa akiona hedhi yake kama kawaida kila ifikapo...kila mwezi..mara ya mwisho nimesex naye 28/10/2016 niliondoka na kwenda masomoni na mwezi wa 11 ameona siku zake kama kawaida...

kinachonichanganya ni kwamba mwezi huu wa 12 hajaona siku zake...Jana kapima mwenyewe kajikuta ana mimba..na sasa hv anahisi kama mtoto anacheza..tarehe 15/11/2016 alichoma sindano nyingine ya kuzuia mimba....

wadau naombeni mnisaidie hapa ushauri....hii mimba imeingiaingiaje wakati mara zote hizo bleed ameona??na mara ya mwisho kulala naye bleed kaona...sasa baada ya mwezi ndo ananiambia ana mimba?

Naomba kujua je unaweza kuwa na mimba na hedhi ikatoka kama kawaida?mtoto tuliyeko naye ana miezi mitano
iyo nayo ni KOKORO
 
Uzazi Wa mpango kuna wengine unawakataa ni yako hiyo mkuu100%
 
yaani umesema jambo liliwahi kutokea kwetu kama kwako!
ndiyo mkuu kuna dawa nilipewa za kunywa ila nakawa mzembe kunywa kwa hiyo wakati mwingine naingia mp kawaida.. ila nilivyofika miezi mitano ikaacha kabisa.. japo dokta aliniambia ni dalili za miscarriage siyo jambo zuri
 
ndiyo mkuu kuna dawa nilipewa za kunywa ila nakawa mzembe kunywa kwa hiyo wakati mwingine naingia mp kawaida.. ila nilivyofika miezi mitano ikaacha kabisa.. japo dokta aliniambia ni dalili za miscarriage siyo jambo zuri
Mh! kama mlizaliwa na baba mmoja kwa tabia hiyo....
 
Mh! kama mlizaliwa na baba mmoja kwa tabia hiyo....
ha haha mkuu usiseme hivyo.. kama mnahitaji mtoto aende hospital watampa dawa ameze ila sasa hizo dawa mh za kunywa kila siku yani zinatia uvivu na karaha... ajitahidi anywe
 
ha haha mkuu usiseme hivyo.. kama mnahitaji mtoto aende hospital watampa dawa ameze ila sasa hizo dawa mh za kunywa kila siku yani zinatia uvivu na karaha... ajitahidi anywe
nimemwambia 'astaafu' hayo mambo maana hali ya uchumi kwa sasa mpaka miaka 9 ipite ni mbaya..
 
Kwa jinsi ulivyoandika maelezo yako ni kama una wasiwasi na ujauzito huenda ikawa si wako.

Ushauri wangu kama amejipima mwenyewe nyumbani, mpeleke hospitali kufanya vipimo zaidi, hizi dawa za uzazi wa mpango zinaweza kumfanya mwanamke akajihisi ana mimba kumbe hana. Kama anayo utajua ina muda gani. Ukijua mimba ina muda gani itakuondolea wasiwasi ulionao. Naamini huenda iliingia mapema hata kabla ya mkeo kuchoma sindano na sio tarehe ya mwisho uliosex nae. Kupata damu ya hedhi inawezekana sababu ya sindano.

Ila mkuu, baada ya mwezi tu umeanza kumpelekea moto wife hata geji haijarudi level yake...au ndio kuzibua masikio?
 
Back
Top Bottom