Msaada: Hii mimba imetokeaje?

Hakuna viungo vya mtoto vilivyotoka hapo, ile sindano ya depo provera ni manufactured hormones sawa na zile zinazozalishwa na miili yetu. Hakuna madhara yoyote kwenye embryogenesis.
Ni salama kwa mtoto wake kuendelea kunyonya ziwa la mama?
 
Mike2k pole kwa hilo! Naomba nikutoe wasiwasi, mimi ni mwanamke ninaeandika hapa, inawezekana kabisa kwa mwanamke kushika mimba na kuendelea kuziona siku zake kama kawaida. Mimi mwenyewe niliwahi kutokewa na kitu kama hiki. Nakumbuka ulikua mwaka 2009, nilikua nikipata maumivu ya mara kwa mara ya tumbo nilipata maumivu ya hapa na pale kama miezi miwili mfululizo wakati wote huo nilikua nikipata siku zangu kama kawaida bila kasoro yoyote ile, bila kumiss hata siku moja tena zinatoka kama kawaida bila kupungua wala nini. Sasa kuna siku maumivu ya tumbo yalinizidia ndio ikabidi niende hospital, nikaambiwa nipige utra sound, baada ya kupiga utrasound majibu yaliyopatikana mimi mwenyewe yalinishtua nilikutwa nina ujauzito wa miezi mitatu na nusu (wiki 14)!!! Nilibaki mdomo wazi sikuwa na dalili yoyote ile ya ujauzito zaidi ya tumbo kuwa linaniumauma!! This is very true my brother!! So take it easy!! Tulia, ileeni mimba, Mungu akijalia wii azae mtoto, muwatunze watoto wote wawili wala msifadhaike, tuliza kichwa huwa inatokea my kaka! Mungu awasaidie, huo ujauzito uwe baraka kwenu!
 
Nakubaliana na wewe kuwa wakati anachoma hiyo sindano tayari alishakuwa mjamzito. Kwani kucheza kwa mtoto ni around wiki ya 22 ya ujauzito yaani miezi mitano. Walitafuta kinga wakati mimba imeshatunga.
Huwa mtoto anacheza kumbe..!!

Mtt anapocheza tumbon huwa tumbo alihumi..
 
Huwa mtoto anacheza kumbe..!!

Mtt anapocheza tumbon huwa tumbo alihumi..
Ndio kuanzia week ya 22 mtoto huwanza kucheza, na wala tumbo haliumi tena huwa ni faraja sana kwani ni dalili ya uhai.
 
Nakubaliana na wewe kuwa wakati anachoma hiyo sindano tayari alishakuwa mjamzito. Kwani kucheza kwa mtoto ni around wiki ya 22 ya ujauzito yaani miezi mitano. Walitafuta kinga wakati mimba imeshatunga.
Kumbe nyota ya kijani imeshapatwa. Sasa ni mwendo wa contraceptives!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Ni salama kwa mtoto wake kuendelea kunyonya ziwa la mama?
Ndio ila maziwa yanaweza yasiwe ya kutosha maana wakati wa kunyonyesha hormone inayotakiwa kutawala ni prolactin lakini ukichoma hii sindano hormone ya progesterone itakuwa kwa kiwango cha juu na huweza kuathiri milk production
 
Haaaah aah unaogopa kufyatua eeeh
 
kaka hayo mambo yasikushngaze kuna wanawake hizo njia za uzazi wa mpango zinadunda mm wa kwanza hapa..unachoma sindano au vidonge na mimba inaingia pole sana...

Ilishantokea hiyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] sina hamu pole sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…