myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
hapana. alishakamilika na mtt tayari ila ilivyotokea ni kama yako. dawa zilitumika na alikuwa anapata p. mpaka miezi mi5kwa hiyo mnaenda kuchoropoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana. alishakamilika na mtt tayari ila ilivyotokea ni kama yako. dawa zilitumika na alikuwa anapata p. mpaka miezi mi5kwa hiyo mnaenda kuchoropoa?
okey hongera kwa mtotohapana. alishakamilika na mtt tayari ila ilivyotokea ni kama yako. dawa zilitumika na alikuwa anapata p. mpaka miezi mi5
Ni salama kwa mtoto wake kuendelea kunyonya ziwa la mama?Hakuna viungo vya mtoto vilivyotoka hapo, ile sindano ya depo provera ni manufactured hormones sawa na zile zinazozalishwa na miili yetu. Hakuna madhara yoyote kwenye embryogenesis.
Mike2k pole kwa hilo! Naomba nikutoe wasiwasi, mimi ni mwanamke ninaeandika hapa, inawezekana kabisa kwa mwanamke kushika mimba na kuendelea kuziona siku zake kama kawaida. Mimi mwenyewe niliwahi kutokewa na kitu kama hiki. Nakumbuka ulikua mwaka 2009, nilikua nikipata maumivu ya mara kwa mara ya tumbo nilipata maumivu ya hapa na pale kama miezi miwili mfululizo wakati wote huo nilikua nikipata siku zangu kama kawaida bila kasoro yoyote ile, bila kumiss hata siku moja tena zinatoka kama kawaida bila kupungua wala nini. Sasa kuna siku maumivu ya tumbo yalinizidia ndio ikabidi niende hospital, nikaambiwa nipige utra sound, baada ya kupiga utrasound majibu yaliyopatikana mimi mwenyewe yalinishtua nilikutwa nina ujauzito wa miezi mitatu na nusu (wiki 14)!!! Nilibaki mdomo wazi sikuwa na dalili yoyote ile ya ujauzito zaidi ya tumbo kuwa linaniumauma!! This is very true my brother!! So take it easy!! Tulia, ileeni mimba, Mungu akijalia wii azae mtoto, muwatunze watoto wote wawili wala msifadhaike, tuliza kichwa huwa inatokea my kaka! Mungu awasaidie, huo ujauzito uwe baraka kwenu!HELLO WA MMU
Jamani nina shida inanisumbua kichwa mpka na usingizi nimekosa...iko hivi wife wangu alijifungua 28/06/2016...baada ya mwezi mmoja na ka wiki mbili 15/08/2016 akchoma sindano ya kuzuia mimba...kuanzia hapo nikawa nagegeda kama kawaida.
sindano hii hufanya kazi kwa miezi mitatu kwa hiyo ingeisha matumizi 15/11/2016.kipindi chote hicho amekuwa akiona hedhi yake kama kawaida kila ifikapo...kila mwezi..mara ya mwisho nimesex naye 28/10/2016 niliondoka na kwenda masomoni na mwezi wa 11 ameona siku zake kama kawaida...
kinachonichanganya ni kwamba mwezi huu wa 12 hajaona siku zake...Jana kapima mwenyewe kajikuta ana mimba..na sasa hv anahisi kama mtoto anacheza..tarehe 15/11/2016 alichoma sindano nyingine ya kuzuia mimba....
wadau naombeni mnisaidie hapa ushauri....hii mimba imeingiaingiaje wakati mara zote hizo bleed ameona??na mara ya mwisho kulala naye bleed kaona...sasa baada ya mwezi ndo ananiambia ana mimba?
Naomba kujua je unaweza kuwa na mimba na hedhi ikatoka kama kawaida?mtoto tuliyeko naye ana miezi mitano
asante. wa uzeeni huyu..okey hongera kwa mtoto
mi ndiyo wa ujanani najisikia raha sana kuwa mamaasante. wa uzeeni huyu..
Huwa mtoto anacheza kumbe..!!Nakubaliana na wewe kuwa wakati anachoma hiyo sindano tayari alishakuwa mjamzito. Kwani kucheza kwa mtoto ni around wiki ya 22 ya ujauzito yaani miezi mitano. Walitafuta kinga wakati mimba imeshatunga.
hongera sana. mm nalamba asali tu basi na kukuza walio tayarimi ndiyo wa ujanani najisikia raha sana kuwa mama
aisee hongera me bado najiandaa kuongeza wenginehongera sana. mm nalamba asali tu basi na kukuza walio tayari
haya.. usitusahau mtori maana huo hauna uzee..aisee hongera me bado najiandaa kuongeza wengine
Ndio kuanzia week ya 22 mtoto huwanza kucheza, na wala tumbo haliumi tena huwa ni faraja sana kwani ni dalili ya uhai.Huwa mtoto anacheza kumbe..!!
Mtt anapocheza tumbon huwa tumbo alihumi..
Kumbe nyota ya kijani imeshapatwa. Sasa ni mwendo wa contraceptives!!!!!!!!!!!!!!!.Nakubaliana na wewe kuwa wakati anachoma hiyo sindano tayari alishakuwa mjamzito. Kwani kucheza kwa mtoto ni around wiki ya 22 ya ujauzito yaani miezi mitano. Walitafuta kinga wakati mimba imeshatunga.
[emoji3] [emoji3]Kumbe nyota ya kijani imeshapatwa. Sasa ni mwendo wa contraceptives!!!!!!!!!!!!!!!.
Ndio ila maziwa yanaweza yasiwe ya kutosha maana wakati wa kunyonyesha hormone inayotakiwa kutawala ni prolactin lakini ukichoma hii sindano hormone ya progesterone itakuwa kwa kiwango cha juu na huweza kuathiri milk productionNi salama kwa mtoto wake kuendelea kunyonya ziwa la mama?
Haaaah aah unaogopa kufyatua eeehHELLO WA MMU
Jamani nina shida inanisumbua kichwa mpka na usingizi nimekosa...iko hivi wife wangu alijifungua 28/06/2016...baada ya mwezi mmoja na ka wiki mbili 15/08/2016 akchoma sindano ya kuzuia mimba...kuanzia hapo nikawa nagegeda kama kawaida.
sindano hii hufanya kazi kwa miezi mitatu kwa hiyo ingeisha matumizi 15/11/2016.kipindi chote hicho amekuwa akiona hedhi yake kama kawaida kila ifikapo...kila mwezi..mara ya mwisho nimesex naye 28/10/2016 niliondoka na kwenda masomoni na mwezi wa 11 ameona siku zake kama kawaida...
kinachonichanganya ni kwamba mwezi huu wa 12 hajaona siku zake...Jana kapima mwenyewe kajikuta ana mimba..na sasa hv anahisi kama mtoto anacheza..tarehe 15/11/2016 alichoma sindano nyingine ya kuzuia mimba....
wadau naombeni mnisaidie hapa ushauri....hii mimba imeingiaingiaje wakati mara zote hizo bleed ameona??na mara ya mwisho kulala naye bleed kaona...sasa baada ya mwezi ndo ananiambia ana mimba?
Naomba kujua je unaweza kuwa na mimba na hedhi ikatoka kama kawaida?mtoto tuliyeko naye ana miezi mitano
kaka hayo mambo yasikushngaze kuna wanawake hizo njia za uzazi wa mpango zinadunda mm wa kwanza hapa..unachoma sindano au vidonge na mimba inaingia pole sana...HELLO WA MMU
Jamani nina shida inanisumbua kichwa mpka na usingizi nimekosa...iko hivi wife wangu alijifungua 28/06/2016...baada ya mwezi mmoja na ka wiki mbili 15/08/2016 akchoma sindano ya kuzuia mimba...kuanzia hapo nikawa nagegeda kama kawaida.
sindano hii hufanya kazi kwa miezi mitatu kwa hiyo ingeisha matumizi 15/11/2016.kipindi chote hicho amekuwa akiona hedhi yake kama kawaida kila ifikapo...kila mwezi..mara ya mwisho nimesex naye 28/10/2016 niliondoka na kwenda masomoni na mwezi wa 11 ameona siku zake kama kawaida...
kinachonichanganya ni kwamba mwezi huu wa 12 hajaona siku zake...Jana kapima mwenyewe kajikuta ana mimba..na sasa hv anahisi kama mtoto anacheza..tarehe 15/11/2016 alichoma sindano nyingine ya kuzuia mimba....
wadau naombeni mnisaidie hapa ushauri....hii mimba imeingiaingiaje wakati mara zote hizo bleed ameona??na mara ya mwisho kulala naye bleed kaona...sasa baada ya mwezi ndo ananiambia ana mimba?
Naomba kujua je unaweza kuwa na mimba na hedhi ikatoka kama kawaida?mtoto tuliyeko naye ana miezi mitano
usianze hapaHapo kuna morani kachomeka mkuki mlangoni wakat ww upo safari
mxiuuu[emoji57] [emoji57] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio ukweli...
My instict are always ryt