Jana nimeacha rasmi kununua dada poa
Wakuu natumaini tuko salama na shughuli za kila siku Usichoke kusoma.... Niliwaza kuja na ID mpya ila nikakataa sababu wanaonifahamu ni wawili tu hapa na tulifahamiana hapahapa Kitambo nilikua na date wadada kama kawaida nikawa naleta mapenzi ya filipino hapa tanzania nikakutana na muirak na...www.jamiiforums.com
Hatuwezi kukupa dada yetu Una tabia za kununua Malaya
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mtoto mzuri sanaWasalaam wakuu,
Niko katika harakati za kutafuta mtu wa kuishi naye maisha yote nitakayoishi kwenye hii sayari. Kuna huyu dada anatanganza Morning Trumpet wa Azam TV, ana sura nzuri, rangi safi na zaidi umbo lake linanimaliza. Naulizia kaolewa, na kama bado nampataje?
Popote ulipo Hilda Phoya nakupenda na lazima nikutane na wewe, haijalishi umeolewa au haujaolewa!
Haki ya nani huyu binti ananifanya niwaze kuota na kufikiria ni wapi nampata!View attachment 2397061
View attachment 2397062
View attachment 2397063
Hilda Phoya [emoji3590][emoji3590], kama umo humu tambua nitakutafuta.
Mbona kama macho ya mleta mada hayaoni vizuri ?!.Wasalaam wakuu,