Scolari
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 1,721
- 2,383
Wasalaam wakuu,
Niko katika harakati za kutafuta mtu wa kuishi naye maisha yote nitakayoishi kwenye hii sayari. Kuna huyu dada anatanganza Morning Trumpet wa Azam TV, ana sura nzuri, rangi safi na zaidi umbo lake linanimaliza. Naulizia kaolewa, na kama bado nampataje?
Popote ulipo Hilda Phoya nakupenda na lazima nikutane na wewe, haijalishi umeolewa au haujaolewa!
Haki ya nani huyu binti ananifanya niwaze kuota na kufikiria ni wapi nampata!
Hilda Phoya [emoji3590][emoji3590], kama umo humu tambua nitakutafuta.