Mbogo_beichee
JF-Expert Member
- Mar 31, 2021
- 237
- 623
Mkuu jf ina wataalamu na wazoefu kuliko hata hao ma bwana shamba.Sifaham sana kilimo hiki lkn si ungewasiliana na Bwana au Bibi shamba kwanza au tembelea maduka ya Pembejeo sometimes unaweza kukutana na wazoefu na wakakipa ushari
Tumia antifungal yenye kiambata cha copper oxychloride ukikosa tumia yenye kiambata cha mancozeb.kuweka vidoti. Wakati papai linaanza kukua kisha hua kama kibarango ikifikia papai kua kubwa na huanza kuoza kabla halijakomaa vizuri.
Bwana shamb hawapatikani kirahis nilipo. Ni polin sana. Mabwana shamba weng wapo mjin.Sifaham sana kilimo hiki lkn si ungewasiliana na Bwana au Bibi shamba kwanza au tembelea maduka ya Pembejeo sometimes unaweza kukutana na wazoefu na wakakipa ushari
Hiyo ni Sinta F1 sio za kienyeji. Ni mbegu boratafuta mbegu bora ya papai mkuu,
Ooh maybe ni kwa sababu ya barid. Maana barid ipoMkuu jf ina wataalamu na wazoefu kuliko hata hao ma bwana shamba.
Kwa uzoefu wangu hizo mbegu sio sahihi
Yaani ni local seed za kukamua na matunda yake yalikuwa yameshaathirika tiyari.
Kingine papai huwa halipendi baridi sana sijui kuhusu mpanda kulivyo hali ya hewa ya huko.
Kwa sasa nimekubali hasara. Nataka nipruni matunda yote kisha nimwagilizie upya na kupuliza dawa bora zaidi. Naomb maelekezo zaidi ya hizo dawa na namna ya upuliziaji kwa muda (mara ngap kwa week).Tumia antifungal yenye kiambata cha copper oxychloride ukikosa tumia yenye kiambata cha mancozeb.
Ni vizuri kutumia mapema wakati wa maua, matunda madogo na yanapokaribia kukomaa.
Naomba unisaidie dawa gani za kupulizaIssue siyo mbegu, hapo issue ni magonjwa. Papai linahitaji sana kupiga dawa ya fungus na dawa za wadudu. Ukichelewa tuu hupati kitu
Asante ngoja nifatilie hicho kitegeo cha nziNzi wa matunda huwa wanaharibu matunda kwa hiyo style. Jaribu kuyavun a na kiyateketeza hayo yalioharibika kisha kuna kitu kinaitwa mitego ya nzi. Sijui jina lake kitaalam ila inatrap nzi kabla hajadhuru tunda likiwa changa. Nahisi hao ni nzi wanasababisha hivyo. Natarajia kuanza kilimo hiki mwezi wa 9 niko kwenye maandalizi ya shamba baada y kutoa mahindi.
Sawa nikianza sasa tazingatia pia hiyoAngalia pia schedule ya mbolea...inaonekana hata madini ni pungufu kwenye mimea
Mkuu we huo ubora unauona?Hiyo ni Sinta F1 sio za kienyeji. Ni mbegu bora
Wazo zuri kutoa mapapai yote yenye changamoto.Kwa sasa nimekubali hasara. Nataka nipruni matunda yote kisha nimwagilizie upya na kupuliza dawa bora zaidi. Naomb maelekezo zaidi ya hizo dawa na namna ya upuliziaji kwa muda (mara ngap kwa week).