Sijaona picha ila kwa kua ninaozoefu kidogo wa kulima shamba dogo huwa kuna wadudu wa rangi nyeupe au nyeusi huwa wanakaa nyuma ya majani upande ambao haupigwi na jua hudhoofisha mmea na kusababisha majani kuwa ya njano. Hapo kwa kipindi hichi cha mvua unaweza prune matawi machache na ukapiga na dawa. Kuna app unaweza tumia kujua dawa au kaonge na mwenye duka wanajua {of course it business}. Mimi niliipata zamani kwenye mazao mengine ila bei kipindi hicho ilinicost 5k kwa ujazo ilikua less than 500ml kama sikosei nilichanganya kwa litre kama 2O hivi za 💧.Mi kwangu milimao inakauka kama imepigwa jua kalii, sijui ugonjwa gani walahi
AsanteSijaona picha ila kwa kua ninaozoefu kidogo wa kulima shamba dogo huwa kuna wadudu wa rangi nyeupe au nyeusi huwa wanakaa nyuma ya majani upande ambao haupigwi na jua hudhoofisha mmea na kusababisha majani kuwa ya njano. Hapo kwa kipindi hichi cha mvua unaweza prune matawi machache na ukapiga na dawa. Kuna app unaweza tumia kujua dawa au kaonge na mwenye duka wanajua {of course it business}. Mimi niliipata zamani kwenye mazao mengine ila bei kipindi hicho ilinicost 5k kwa ujazo ilikua less than 500ml kama sikosei nilichanganya kwa litre kama 2O hivi za 💧.
Wengine watakupa maarifa zaidi
Mkuu kabla hujaanza kutimiza maelekezo ya mtaalam hapa. Hakikisha unahudumia zao lako huduma zote muhimu na kwa wakati.Habari zenu wakuu. Naomba niende kwenye mada. Mim ni mkulima natokea Mpanda Katavi. Nimelima mwaka juzi zao la papai na kila mwaka wa mavuno hutokea hili tatizo la kuweka vidoti. Wakati papai linaanza kukua kisha hua kama kibarango ikifikia papai kua kubwa na huanza kuoza kabla halijakomaa vizuri.
Nitaweka picha hapo chini muone inavokua.
Msaada jamani
Kwa mujibu wa picha la shamba lako japo hujapiga picha kwa upana ili kupata uchambuzi wa hali ya shamba kwa kina.Wazo zuri kutoa mapapai yote yenye changamoto.
*Mancozeb tumia gram 2.5-3 kwa lita moja ya maji. Muda wa kurudia siku 14.
*Cooper oxychloride tumia gram 3 kwa lita moja ya maji. Muda wa kurudia siku 14 -21 kutegemea na mashambulizi.
Nimetumia kipimo cha gram kwasababu aina hizo za dawa zinapatikana zaidi kwa mfumo wa unga (WP), changanya unga wa dawa vizuri uhakikishe imesambaa vzr kwenye maji kabla ya kupulizia.
NB: usisahau sumu ya wadudu hasa hawa meal bugs tumia Dudu acelamectin inafanya vzr zaidi kwa wadudu wanaofyonza.
Lazima kuna kitu cha kitaalamu hakiko sawa mkuu.Ila utafutaji, bila kutumia kafara, ni mgumu aiseee. Mimi nimefuga samaki aina ya Sato kwa njia ya vizimba, huduma zote zimezingatia, ila mavuno sasa ni Mungu anajua. Niko hoi kabisa. 🙆
Sawa Mkuu. Ila kuweka tena 45M akili haitaki kukubali kabisa.Lazima kuna kitu cha kitaalamu hakiko sawa mkuu.
Ongeza utafiti/udadisi//jitihada za kujua unakosea wapi.
Aiseee pole sana mkuu...Sawa Mkuu. Ila kuweka tena 45M akili haitaki kukubali kabisa.
Hapana, nilifunga camera kwenye kizimba. Shida Mkuu nilipigwa kwenye vifaranga. Niliuziwa species ya Sato wadogo(nadhani Perege) kama wale wanapatikana Dodoma bwawa la Mtera, ilhali mimi nilitaka Sato wakubwa. Sasa hao wadogo Kanda ya Ziwa nimehangaika sana kupata soko. Walioniuzia vifaranga walinipiga.Aiseee pole sana mkuu...
Au kuna wezi walikua wanakusaidia kuvuna.
Duuuh pole sana.Hapana, nilifunga camera kwenye kizimba. Shida Mkuu nilipigwa kwenye vifaranga. Niliuziwa species ya Sato wadogo(nadhani Perege) kama wale wanapatikana Dodoma bwawa la Mtera, ilhali mimi nilitaka Sato wakubwa. Sasa hao wadogo Kanda ya Ziwa nimehangaika sana kupata soko. Walioniuzia vifaranga walinipiga.
Dah Aisee pole sana... Ndio shida ya Watanzania wengi, uaminifu na kutegemeka kwa huduma ni sifuri kabisa.Hapana, nilifunga camera kwenye kizimba. Shida Mkuu nilipigwa kwenye vifaranga. Niliuziwa species ya Sato wadogo(nadhani Perege) kama wale wanapatikana Dodoma bwawa la Mtera, ilhali mimi nilitaka Sato wakubwa. Sasa hao wadogo Kanda ya Ziwa nimehangaika sana kupata soko. Walioniuzia vifaranga walinipiga.
Yeah, shida ni kubwa sana. Kufanya kazi na Mtanzania au Kampuni za Kitanzania chance ya kufail ni kubwa sana.Dah Aisee pole sana... Ndio shida ya Watanzania wengi, uaminifu na kutegemeka kwa huduma ni sifuri kabisa.
Hawa watu wanarudisha sana nyuma... Hata katika mbegu na viwatilifu baadhi ya wilaya ni fake, kuna wahuni wanaingiza mzigo fake sokoni.
Ulifuga kwenye ziwa Victoria mkuu?Ila utafutaji, bila kutumia kafara, ni mgumu aiseee. Mimi nimefuga samaki aina ya Sato kwa njia ya vizimba, huduma zote zimezingatia, ila mavuno sasa ni Mungu anajua. Niko hoi kabisa. 🙆
Ndio Mkuu.Ulifuga kwenye ziwa Victoria mkuu?
Shukrani sana kwa ushauri?Mkuu kabla hujaanza kutimiza maelekezo ya mtaalam hapa. Hakikisha unahudumia zao lako huduma zote muhimu na kwa wakati.
Kwa mujibu wa picha la shamba lako japo hujapiga picha kwa upana ili kupata uchambuzi wa hali ya shamba kwa kina.
#Shamba linamajani sana(magugu), kutokusafisha shamba kwa wakati kunaweza kuwa sehemu ya tatizo kwasababu magumu yanatumika kama makazi(maficho) na mazalia ya visumbufu vya mapapai yako(panya, wadudu, fungus, virusi na bacteria).
Kwahiyo mkuu... fanya usafi wa shamba kwa kupalilia na kuondoa majani yaliyoharibika/shambuliwa na wadudu(pests).
Kama hivi.
View attachment 3338615
Mkuu kuna maeneo haya kubali baadhi ya mimea hayo mapapai ni mbegu kubwa ila ymeathiriwa na hali ya baridi mnoo hivyo huchelewa kuzaa kukua na hata kukomaa halafu hupoteza ubora wa umbo au maumbo piaMkuu jf ina wataalamu na wazoefu kuliko hata hao ma bwana shamba.
Kwa uzoefu wangu hizo mbegu sio sahihi
Yaani ni local seed za kukamua na matunda yake yalikuwa yameshaathirika tiyari.
Kingine papai huwa halipendi baridi sana sijui kuhusu mpanda kulivyo hali ya hewa ya huko.