Msaada, Hivi inakuwaje ukinunua chombo cha moto, chenye madeni TRA nalipa mimi au analipa yule ambae ameniuzia

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Inakuwaje kwa mfano ukinunua chombo cha moto ambacho kinasoma jina LA mtu mwingine na Lina deni unatakiwa kufanya Nini ili kuepukana na changamoto hiii...

Na chombo tayari umeshanunua?
 
Ulinunuaje kabla ya kujua kipa na deni au la, maana ofisi za TRA zipo wazi ,why usifuatilie na kama kipo na deni mkatane hukohuko kipindi cha manunuzi.
 
Inakuwaje kwa mfano ukinunua chombo cha moto ambacho kinasoma jina LA mtu mwingine na Lina deni unatakiwa kufanya Nini ili kuepukana na changamoto hiii...

Na chombo tayari umeshanunua?
Check status .....kama kuna deni lilipwe na ndio ufanye transfer.....
na sio kwa vyombo vya moto tu...hata mali ziszohamishika kama nyumba, viwanja na mashamba....jihakikishie kwanza havina madeni.....
..
 
Duuh kwaiyo mkuu inasemekana hiki chombo kina deni LA miaka mitatu na Hela nimeshampa je naweza kujinasua vipi ili yule jamaa anillipie ilo deni tra?
 
Check status .....kama kuna deni lilipwe na ndio ufanye transfer.....
na sio kwa vyombo vya moto tu...hata mali ziszohamishika kama nyumba, viwanja na mashamba....jihakikishie kwanza havina madeni.....
..
Hapo ndio nimekosea kwaiyo nafanya Nini sasa mana chombo kina deni LA jamaaa na hajanipa tax clearance certificate nafanyaje?
 
aliekuuzia ndo anatakiwa kukuhamishia. ila kama anadaiwa haiwezekani adi alipe ilo deni
 
Mmeuziana kwa misingi gani mkuu?
Bila shaka jamaa alikua anajua na kama mliuziana kwa kujuana basi alitumia karata hiyo kukuachia msala.

Ila kama mliuziana kihalali basi wajuzi wa sheri wahusike.
 
Wanakikamata...mwenye nacho ndio atahangaikia kukilipia ili akichukue...utalipa wewe ili uwe nacho huru kwa kukitumia, mwenzako hana shida nacho atakuzungusha tu, maana angekuwa na Nia njema angekuambia kabla ya kuuziana. Mshirikishe taarifa mwambie chombo kinadaiwa na kinatakiwa kilipiwe usikie jibu lake alafu Fanya maamuzi yako...kukubali hasara kwako
 
Aisee sawa ushauri mzuri
Siwezi kumuweka ndani au kumfungulia kesi?
 
Atalipa yeye sindio
Ndio kwa sababu kama analeseni hata ruhusiwa kuuza hicho chombo mpaka alipe madeni yake ndo ataruhusiwa kuuza hiko chombo na kubadilishwa kwa leseni ya umiliki wa hicho chombo unless akuuzie kinyamela tu lakini hata hivyo wew ukitaka kusajili hicho chombo utakut kina usajili wake bado na deni litasoma kwenye leseni yake .
 
Analipa mmiliki wa chombo husika, ambapo kwa muda huo ni ww uliyenunua 🔥
 
Aisee sawa ushauri mzuri
Siwezi kumuweka ndani au kumfungulia kesi?
Hapo wote mna makosa, wewe ilitakiwa uhakiki mali kabla ya kununua...naye alikuwa na lengo la kukutapeli na kukuibia
 
Back
Top Bottom