Msaada: Hivi kuna uhusiano gani kati ya matumizi ya ARV na vifo vya ghafla?

ngungwangungwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
644
Reaction score
569
Madaktari hebu nisaidieni juu ya hili,nimeshuhudia watu wengi wa karibu yangu wakifariki vifo vya ghafla baada ya kutumia dawa za kurefusha maisha(Arvs).

Naomba kujua kwa nn hali hiyo inatokea kwa hawa watu. Kuna watu 4 nimeshuhudia. Wa kwanza shemeji yangu alianguka akiwa anaendesha baiskeli akafa palepale,akafuata binamu yangu alianguka akiwa anakamua ng'ombe maziwa nae alifikishwa hospital akafa muda mfupi baadae,rafiki yangu alikutwa amekufa chumbani kwake na kuna jamaa yangu amekufa siku chache zilizopita akiwa kwenye daladala anaenda kazini.

Wote hawa walikuwa wanaishi kwa matumaini na afya zao zilikuwa imara sana ki-muonekano kutokana na matumizi ya dawa hizo.

Nawasilisha!
 
Hili swali nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu sijapata jibu. Madaktari wa JF please hebu njooni mtusaidie kwa hapa.
 
Mimi sio daktari lakini katika pita pita zangu na kusoma soma mada juu ya ARV's baada ya kujihisi ninao lakini Mungu alisaidia majibu yalikuja negative nilikuja kugundua hivi kwamba kwanza hizi ARV's ni toxic yani zina masumu sumu mimi sio doctor kwaio siwezi elezea vizuri halafu sababu mtu anatakiwa anywe vidonge kila siku for the rest of his or her life saa zingine mtu anachoka maana sijui zinataste gani mdomoni maana binafsi doze kali nashindwaga kuzimaliza au kuzipatia masaa ya kunywa i.e typhoid na ma vidonge mengine kama ciprofaxin hivi sasa hizi daea ukizinywa zinawalewesha virusi hence vinakua inactive kwaio vinaacha kuji replicate sasa vinakawaida ya kujificha unapoacha kunywa vinajitoa wazi na kuanza kujireplicate kwa kasi kuliko mwanzoni kabla ya dawa na pia ukitumia sanainabodi uzibadilishe zinaweza kuanza kufail au kitu kama hicho na ukiacha hata siku moja unatakiwa unanze dozi upya...kwaio kuacha kuacha kunywa nafikiri ndo kunaletaga vifo vya ghafla kama kuna mtaalamu atafafanua vizuri...
 
Madaktari hebu nisaidieni juu ya hili,nimeshuhudia watu wengi wa karibu yangu wakifariki vifo vya ghafla baada ya kutumia dawa za kurefusha maisha(Arvs).

Naomba kujua kwa nn hali hiyo inatokea kwa hawa watu. Kuna watu 4 nimeshuhudia. Wa kwanza shemeji yangu alianguka akiwa anaendesha baiskeli akafa palepale,akafuata binamu yangu alianguka akiwa anakamua ng'ombe maziwa nae alifikishwa hospital akafa muda mfupi baadae,rafiki yangu alikutwa amekufa chumbani kwake na kuna jamaa yangu amekufa siku chache zilizopita akiwa kwenye daladala anaenda kazini.

Wote hawa walikuwa wanaishi kwa matumaini na afya zao zilikuwa imara sana ki-muonekano kutokana na matumizi ya dawa hizo.

Nawasilisha!

Mtafute Mr. MIPUA Bosi Na Mmiliki MKUU Wa aitiviiiiiiiii Na Mwenye Chair Wa Makampuni Ya ALI PIPI Ana Ushuhuda Mzuri Sana Wa Zao Lake LILILOFARIKI Dunia ktk Gari Pale O'bey Kwa Mtindo Huo Huo Na Kwa Kunywa DAWA Hizo Hizo.
 
Madaktari mko wapi jamani msaidie kutoa maelezo!? Mkuu MziziMkavu njoo huku uelimishe kuhusu hili.
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha ha we unamkejeli mfadhili wa chagadema utapigwa ban. Shauri yako wenyewe wanampendaga sana!
 
Mimi sio daktari lakini katika pita pita zangu na kusoma soma mada juu ya ARV's baada ya kujihisi ninao lakini Mungu alisaidia majibu yalikuja negative nilikuja kugundua hivi kwamba kwanza hizi ARV's ni toxic yani zina masumu sumu mimi sio doctor kwaio siwezi elezea vizuri halafu sababu mtu anatakiwa anywe vidonge kila siku for the rest of his or her life saa zingine mtu anachoka maana sijui zinataste gani mdomoni maana binafsi doze kali nashindwaga kuzimaliza au kuzipatia masaa ya kunywa i.e typhoid na ma vidonge mengine kama ciprofaxin hivi sasa hizi daea ukizinywa zinawalewesha virusi hence vinakua inactive kwaio vinaacha kuji replicate sasa vinakawaida ya kujificha unapoacha kunywa vinajitoa wazi na kuanza kujireplicate kwa kasi kuliko mwanzoni kabla ya dawa na pia ukitumia sanainabodi uzibadilishe zinaweza kuanza kufail au kitu kama hicho na ukiacha hata siku moja unatakiwa unanze dozi upya...kwaio kuacha kuacha kunywa nafikiri ndo kunaletaga vifo vya ghafla kama kuna mtaalamu atafafanua vizuri...

Uko sahihi
 
Bahati Mbaya Na Kwa Asili Tu Ya Mkoa Wangu HUWA SINA MSHIPA WA UOGA au KUOGOPA KITU na NAJIAMINI Mno Na Sana.
 
Kwa nn Mkuu unadhani ni vigumu kwao madaktari kutolea ufafanuzi jambo hili!?

Ujue kuna mambo huwa yanafichwa hata mie nilianza kuzisikia story hizi za kwamba hayo madawa yanauua kifo cha ghafla,lakini nilikuja kushuhudia kifo cha aina kwa mtu ambaye alikuwa akitumia hayo madawa...Jaribu kupitia blog hii chini.
http://salimmsangi.blogspot.com/2013/12/afrika-haikupata-kuwa-huru-kutoka-kwa.html?m=1
 
Madaktari mko wapi jamani msaidie kutoa maelezo!? Mkuu MziziMkavu njoo huku uelimishe kuhusu hili.
Kuingia kwa dawa bandia za kurefusha maisha (ARVs) Serikali inapaswa kuwajibika kwa vitendo...

Ikumbukwe kwamba Maelfu ya watu wana tumia dawa za kurefusha maisha,lakini cha kushangaza imebainika kuingizwa dawa bandia za kuferusha maisha. Hivyo mamlaka ya dawa imeagiza ziondolewe mahospitalini, zimebainika zina jenga usugu kwa virusi vya UKIMWI.

Maelfu ya watu walioathirika kwa ugonjwa wa ukimwi ambao kwa sasa wanatumia Dawa za kurefusha maisha (ARVs) nchini wapo hatarini kufupisha maisha yao baada ya kubainika kuwa toleo mojawapo la dawa hizo la machi 2011 ni bandia.

Uchunguzi unaonesha kuwa dawa hizo zilizosambaa katika mikoa ya Dares-salaam, Tanga na Mara zilianza kusambazwa tangu Mei mwaka huu na hadi sasa bado zipo sokoni,jambo lilio ilazimu Mamlaka ya Chakula na dawa Tanzania (TFDA) Kuagiza zirudishwe Bohari kuu ya Dawa (MSD).

MSD wame ahidi kutoa taarifa leo kuhusu kiasi cha dawa bandia zilizo sambazwa kwa wananchi wakati huohuo ni zaidi ya watu zaidi 400,000wameshatumia hizi dawa.

Ni wakati umefika kwa serikali kuonesha uwajibikaji wa wazi katika mambo ya msingi na kuondokana na tabia ya kulindana huku wananchi wakizidi kuteketezwa kwa uzembe wa watu wachache.

Tunaweza kujiuliza nini kazi ya TFDA kama dawa feki zinapita kirahisi namna hii?

TFDA wamefanya uzembe wa kuruhusu dawa feki na kujidai kushituka wakati dawa zimesha samba nchini, je walikuwa wapi sikuzote na kwa nini hawakufanyia uchunguzi wa kina dawa hizi kabla ya kuruhusu kusambazwa?

Tujiulize ni nani na ni kiwanda gani kimetengeneza dawa hizi?

Ni nani aliye ruhusu dawa hizi kuwa zina faa kutumika kama siyo hawa hawa TFDA?

Ni vyema katika swala hili siasa ikawekwa pembeni na serkali kuwawa jibisha yeyote aliye husika katka uingizwaji wa dawa hizi bandia, na serikali inatakiwa ijue imeanza kuonesha kwa vitendo inavyo leta michezo ya kubahatisha kwenye maisha ya watu.

Source: Mwanachi
Topic: Kuingia kwa dawa bandia za kurefusha maisha (ARVs) serikali inapaswa kuwajibika kwa vitendo...
 
Kuingia kwa dawa bandia za kurefusha maisha (ARVs) serikali inapaswa kuwajibika kwa vitendo...

Mkuu MziziMkavu kwa nukuu hii maana yake dawa hizo bandia huenda ndiyo sababu ya hivi vifo vya ghafla vya watuamiaji wake!?
 
Last edited by a moderator:
Mimi sio daktari lakini katika pita pita zangu na kusoma soma mada juu ya ARV's baada ya kujihisi ninao lakini Mungu alisaidia majibu yalikuja negative nilikuja kugundua hivi kwamba kwanza hizi ARV's ni toxic yani zina masumu sumu mimi sio doctor kwaio siwezi elezea vizuri halafu sababu mtu anatakiwa anywe vidonge kila siku for the rest of his or her life saa zingine mtu anachoka maana sijui zinataste gani mdomoni maana binafsi doze kali nashindwaga kuzimaliza au kuzipatia masaa ya kunywa i.e typhoid na ma vidonge mengine kama ciprofaxin hivi sasa hizi daea ukizinywa zinawalewesha virusi hence vinakua inactive kwaio vinaacha kuji replicate sasa vinakawaida ya kujificha unapoacha kunywa vinajitoa wazi na kuanza kujireplicate kwa kasi kuliko mwanzoni kabla ya dawa na pia ukitumia sanainabodi uzibadilishe zinaweza kuanza kufail au kitu kama hicho na ukiacha hata siku moja unatakiwa unanze dozi upya...kwaio kuacha kuacha kunywa nafikiri ndo kunaletaga vifo vya ghafla kama kuna mtaalamu atafafanua vizuri...

Kama sio daktari tafadhali tulia, La sivyo utakuwa kama kina Le profeser jk.
 
Ni kweli inatokea, na ni kweli dawa hizi hizi zina side effects, ieleweke kuwa dawa hizi hutolewa kulingana na CD 4 number alizo nazo mgonjwa, kwa kifupi ni kuwa ukiwa na CD4 ndogo sana wakati unaanza dawa kinga nayo hupanda lkn mwili ulikuwa umejitune kwenye kinga ndogo kwa muda mrefu, kitendo hiki hufanya mwili kupambana na maradhi nyemelezi mengi uliyokuwa nayo na ni ktk mapambano haya askari wa mwili wanatoa sumu nyingi (chemical mediators) ambazo hufanya mwili kupata mjumuisho wa dalili unaoitwa IRIS ambao hupelekea mtu kufa, zipo sababu nyingine kama za ubora wa dawa lkn niwapishe wengine waongezee kwa manufaa yako na wengine.
 
Maada nzuri lakini madokta wamekimbia,kiufupi kwamba mtu anapopata HIV/AIDs cell nyeupe za damu ndo hushambuliwa ambazo ndo ziko kwa kupambana na magonjwa,na mtu anapoanza kutumia ARVs si kwamba dawa hizi zinakomeshwa kushambuliwa kwa whiteblood cells bali zinapambana na kutokea kwa magonjwa nyemelezi kwahiyo utakuta mtu anayezitumia hizi ARVs cell zake zimeshambuliwa zaidi ingawaje anaonekana mzima wa afya,kwa hiyo kifo chake chaweza kuwa cha ghafula au aweza ugua kichwa tu nabaadaye akafariki
 
Back
Top Bottom