MSAADA: Hivi, Naweza Kutumia Laptop kupita simu?

MSAADA: Hivi, Naweza Kutumia Laptop kupita simu?

Mkuu, nimejaribu kuitumia TeamViewer naona siwezi ku-access laptop kupitia simu, ninachokiona ni screen ya simu inaonekana kwenye screen ya laptop.

Tofauti na vile nilivyotaka ni kuwa, nilitaka ku-access laptop lakini kwa kutumia simu kiongozi.
Ina maana hapo umefanya vice versa ni setting tu hapo.

Hakikisha laptop ndio ina generate code na simu ndio inaingiza hio code ya laptop.
 
Back
Top Bottom