Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Safi sana,kama ni mzuri kama ulivyosema,usimuache..E notationdelea kula mzigo
 
Hongera mkuu
 
Hakuna kipimo bongo kinachoweza kukupa majibu ya hiv ndani ya muda mfupi hivyo, nenda hospital ya serikali upewe PEP kama emergency tu.
 
Daaaaah tayari marehem mtalajiwa
Ni ARV. Trust me

Nitakuja kutoa maoni yangu,usijali
 
Kama umeshiriki tendo la ndoa kabla masaa 72 wahi upate huduma ili uanze kutumia PEP kwa ajili ya kujikinga na maambuki......hii imesaidia watu wengi alafu ukizingatia kama anatumia dawa zake vzur idadi ya viral load itakuwa ndogo hivyo possibility ya kuwa infectected inakuwa ndogo....ila kama uko ndani ya mda nakushauri uwahi kitu cha afya ili uweze pata hiyo huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…