Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Vipo mkuu. Brand nimeisahau kidogo. Tena zilikuwepo za 1E.kwa ukubwa huo na ilo umbo vinafanana kabisa na arv ila mi sijawahi ona vya njano, nimeona vyeupe na rangi flan kama tofali la kuchoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipo mkuu. Brand nimeisahau kidogo. Tena zilikuwepo za 1E.kwa ukubwa huo na ilo umbo vinafanana kabisa na arv ila mi sijawahi ona vya njano, nimeona vyeupe na rangi flan kama tofali la kuchoma.
Haya mkuu tusimulie kilichojiri ili kama ni ushauri uupate hapa hapa before 72 hrs from actionThanks
UsiogopeNgoja nivute pumzi niwape story
Hello baby[emoji7]Ni zenyewe
Waiting mkuu. vema ukasema kila kitu ili tukusaidie. Kama umeviona muda huu na umejamiana naye ni bora ukimbie hospitali ukapate PEPNgoja nivute pumzi niwape story
You write from self experience[emoji14] [emoji14]Vipo vya aina nyingi mkuu, wanakupima kwanza kuanzia allergies na vitu vingine kabla hawajakupa dawa.
Wao ndo wanatumia??Muulize Evelyn Salt na Madame B.
Hayajakukuta mkuu...USIOMBE YAKUKUTE yaani maji utayaita mmaUsikute umeleta demu afu umepiga kavu, kaenda kuoga umesearch kwa bag yake ukakutana navyo
Hapo ndipo utakapojua maana ya neno love
Doctor mambo?Ni zenyewe
Haya ni nini?Sio ArV
Mkuu me hata ku search sitakiHayajakukuta mkuu...USIOMBE YAKUKUTE yaani maji utayaita mma
We jamaa naona umemkomalia sana [emoji51][emoji51]Waiting mkuu
The way unavyowaongelea bas watakuwa na experience sana na hizi mambo