Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

kwa ukubwa huo na ilo umbo vinafanana kabisa na arv ila mi sijawahi ona vya njano, nimeona vyeupe na rangi flan kama tofali la kuchoma.
Vipo mkuu. Brand nimeisahau kidogo. Tena zilikuwepo za 1E.
 
Back
Top Bottom