Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

What a courage?
 
Ulipaswa umshukuru na umrudie muendelee kugegedana
 
Hyo ya bila condon ipoje mkuu
 
pole mkuu
 
Aisee! Humu J.f sio pa kuuliza hovyohovyo..........Watu wanaweka mpaka source.
 
Ngoja tuje tuone hicho kifaa ulichokisifia sana
Ila unamoyo wa kunguni, kupanic kote kule saiv unataka tena papuch
 
Aiseee

Pole.sana, Kaka,
Kwanza, nimesoma.Uzi wote kama.ubuyu wa mawingu station.
Nimejifunza haya,

1. Ukimsaidia mtu ( Me akisaidia Ke au Ke akisadia Me) usitake malipo ya ngono au fadhila au shukurani za mapenzi.

.2. Kupima muhimu

3. Uaminifu kwa walio katika mahusiano au ndoa ni.jambo.la.msingi. na mbolea

4. HIV/ AIDS inaogopwa sana sana na wote humu JF japo watu kunawaandishi wengi sana huko MMU

5. Kama ni Me au Ke hutaki kusumbuliwa na mtu sema tu wewe una meza ARV maana watu wanaziogopa sana hadi wanaziita ni ubuyu

6. Kifo kinaogopwa na wote/humu JF

7. Kama unahitaji Ke au Me akakuzingua bora uache aisee zaidi ya hapo utavaa pichu ukatembea nayo mtaani baada ya movie ya action.

8. HIV/ AIDS, ngoma, umeme au ngwengwe ipo na ni noma sana.

9. Me, wengi ndiyo wanaoambukiza HIV kwa kukusudia mfano, story ile kijana wa kota ameonesha ME wawili walisambaza ubuyu kwa Binti mhitimu wa darasa la saba . Pole Sana Binti

10. KE, wanahuruma sana kwa hii story nilichogundua sana , Maana mrembo alikataa sana kula ubuyu na hata alipokubali bado ilikuwa ni kwa condoms tena bado alizidi kukataa. Pia , mchangiaji mwingine amesema Ex- girl friend wake alimsaidia asile ubuyu wenye ngoma/umeme. KW ahiyo KE wameonesha huruma sana na kuthamini maisha ya Me.

11. Wana JF wengi ni Great Thinkers and Smart Thinkers kwa msaada waliotoa katika huu Uzi na ushauri wa haraka.

12. Mleta mada, bado unakipaji cha kuwa kwenye mwandishi wa visa hasa matukio tata kama hili.

13. Tuache kula ubuyu ambao usiyo halalishwa (kama siyo mke/ mahusiano rasmi basi tusile ubuyu ) na uko na mhuri wa TBS.

14. Ukishindwa kabisaa ndomu / condoms ziwepo kontena zima ila uwe na uhakika japo asilimia 85%.

15. Uwasilishaji wa Uzi kwa ujumla ni wa hali ya juu sana . Maana jinsi mleta mada alivyoandika na wachangiaji walivyo kuwa wanatiririka ; kweli unachekesha sana na kuhamasisha msomaji aendelee kusoma comments zote kama shilawadu vileee
πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

16. Ukipata changamoto au tatizo kama una MB za internet bundle weka hapa JF majibu mubashara yanapatikana mapema asubuhi hadi jioni unakuwa una furaha na kicheko tele tele. Maana JF ni kisima cha maarifa.

Wengine wataongezea...
 
nimetumia zaidi ya dakika 90 kusoma huu uzi!!, regardless mleta mada katunga au kweli, huu uzi umenifunza mengi sanaaaaa na umenifanya nigundue vitu ambavyo kiukweli ilikuwa vigumu kupata jibu:

1: kuhusu ARV nilikuwa navisikia ila sikuwahi kuviona machoni, ila kuna ndugu yangu (mjomba) tulikutana kwenye msiba yule yamaa alikuwa na vidonge ving sana kama hcho hcho hadi rangi. na alikuwa anameza maranyingi sana sasa leo nimepata jibu.

2: kuhusu hiyo PEP sijui, hilo ndo nalisikia leo, na wenye kufahamu naomba mnijuze hyo huduma ya ndani ya masaa 72 inatolewa kila hospital au hospital kubwa tu kwa Tanzania? na ni kidonge au ni nin!?

3: nimejifunza kitu kikubwa sanaaa. Yaani nimejikuta namshukuru Mungu kwa kuniepusha salama kwenye michezo yote ambayo nabaniwa, na mim huwa naforce sanaaa ila kuna sehemu kama mbili hv niligonga mwamba, sito sahau kuna mmoja alikuja kwangu nilimkazania alale ila kufikia saa sita usiku baada ya kumforce sana anakataa hadi analia alipanda bodaboda akarudi kwake, sikujua kwa nin!? ila nilivyosoma huu uzi nimesema asante baba,

na mwingine huyo huu ni mwezi wa tatu sasa ananipiga calendar tuu na siyo kawaida, yaani huwa tunafanya vingi ila ikifika swala la sexy anakataa, all in all nasema asante sanaa sitomsumbua tenaaaa na nakiri kuacha huu ujinga utanigharim maisha yangu.

asante sana mleta mada, asanteni wachangiaji wote nimejifunza mengi sana.

*leo nimeanza kukumbuka miaka ya 2003 jinsi nilivyokuwa naogopa ukimwi*
 
Huu uzi japo niwakutunga lkn umenirudisha nianze punyeto tena hasa nikiwa mbali na mashemeji zenu ninao waamini (niliopima nao)
 
Hahaha huyu jamaa Leo kajua kutukomesha wallah
 
Hua atuguesss kua ni vyenyewe au si vyenyewe ....kuna vtu vinavyofanya kdonge kijulikane mfano kopo na label ya dawa,au mamlaka husika kama tfda,pharmasist ,pharmacytechnician au doctors..hao ndio wenye uelewa sahihi juu ya dawa na sio kila mtu..brother dont panic consult mmoja kat ya wadau niliotaja hapo juu..watakupa jb sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…