Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Ni bora ulete picha ya box lake tukuambie kuliko kutumia kidonge ......

Hii ni kwasababu viwanda siku hizi vinatabia ya kutoa dawa zakufanana umbo. ..
...mfano kiwanda cha Pom au Mylan
Mkuu hiyo dawa ni ARV kama sikosei imetengenezwa na mylan. Ilikuwepo kwenye mzunguko toka mwaka juzi na mpaka sasa ipo
 
Mmmh ni mimi sijaelewa au. Yaani huyo dada ni muathirika ila jamaa vidudu havikumshika hata walipooana bado hakuambukizwa.
 
Usikate mawasiliano na huyo dada tafuta njia nzuri ya kumuuliza myaongee then muendelee hata na urafiki wa kawaida. Huyo ni shujaa wako nawe wapaswa kuwa mtu wa karibu sana kwake
 
HIV AIDS is a myth, if u ar doc i knw u knw this.
 
Ushammaliza mwenzio jamanii. ..[emoji23] [emoji23] na cheka lakini havichekeshii
 
Aise nyapu ni kitu ingine haswa ukiwa na kupungu cha muda mrefu... Ndom mbali ivo

Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
 
Jamani ukimwi Upo aupimwi kwa macho ata kidogo aiseee msimuamin mtu ata awe mzuri vip cos nikiwadondoshea picha hapa akuna atakaye Amini japo siwezi kuweka picha
Nipe namba
 
Safi sana . Nakupongeza kwa hilo. Fanya hivyo tena zidisha mahaba kwake. Niliwahi kupendwa na mrembo muathirika mzuri kweli. Sema rafiki yake ambaye ni mpenzi wangu alihisi huyo dada ananipenda . Kuna siku akamwambia kuwa naona unammezea mate shemeji yako.
 
Malaika walikuwa on ur side, kweli sio kila simu ya kupuuza aseeh, huyo X ukamrudia au ukampa shukrani gani? Maana ka take a bullet for u, na sijui alikua anakufatilia! Kakuonaje upo na goma [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…