Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Nishaelezea kila kitu rudini nyuma
 
Hivi
 
Duuh kweli sio kila king'aacho ni dhahabu... vingine vina kutu... Tuwe makini
 
PEP ndo ARV's yenyewe, inatolewa kwa waathirika tu au watu waliobakwa na wenye vvu, kuchomwa sindano yenye vvu nk, ikipita masaa 72 tangu upate maambukizi inakuwa ni helpless.

Waathirika hawapewi PEP..Kabla hujapewa PEP unapimwa na kama uko positive utaanishiwa full regimen ya ART

Kama uko negative ndio utapewa PEP..Ni very effective within 2 hours post exposure,na less effective up to 72 hours..It is ineffective beyond 72 hours

Sio kila atakaepewa PEP within 72 hours atafanikiwa kuchomoka ndio maana efficiency yake sio 100%.Kuna mambo ya risk grading pia
 
Sasa huyo ex wako inabidi umuoe tu
 
Mkuu tupe mrejesho basi nini kimejiri baada ya kugundua kuwa ni vyenyewe.
 
Nime lazimisha kupima kaniambia aina ila kunitoa wasi wasi kanipima na hii kitu na nyingine kanipa yani majibu hapo hapoView attachment 489902
Ndo ukubwa huo *****,mimi nilikuwa na demu baa high table yupo mshikaji wangu na jamaa anayejua story zote khs demu wangu mpya.mimi nipo kwwnye biti vya kawaida napanga plan za kesho kula mzigo, kumbe hightable mshikaji wangu anapewa story zote za demu wangu kua kesha ungua zamani sana...basi jamaa angu ananitumia msg zote kuhusu demu wangu mpya wa kutoka sinza na mimi huku napanga namna ya kugongana nae kesho...nilitoka kijasho chembamba km zezeta...nikazuga kesho nimeambiwa niende job kwahiyo hatuwezi kwenda lodge nilivyotoka hapo.....nilimkwepa demu km week 2 nkasikia mshikaji wangu mmoja ya mtaani kala kiukweli jamaa hana raha kbs saiv sijui kajijua miaka km 7 iliyopita ..
 
Jamani ukimwi Upo aupimwi kwa macho ata kidogo aiseee msimuamin mtu ata awe mzuri vip cos nikiwadondoshea picha hapa akuna atakaye Amini japo siwezi kuweka picha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuu.... Sasa umeenda kumshukuru huyo manzi asee???! Maana kakulinda ujue
 
mm sijui nina nyota ya HIV yan pamoja na kusoma uzi wote comment kwa comment lakini badi sijickii kutumia ndom hata kwa manzi mpya
 
Asante kwa kutufahamisha. Kuhusu hilo la PEP kutoweza kufanya kazi 100% kwa watu wote wanaopewa dose, unaweza kutuambia sababu ni nini?
 
Nenda kapime kwanza ww
 
Jamani tuwe makini hata hiyo kupima usiamn kwa mara moja huko kwetu vipimo most of the time vinatoa wrong answers. Kuna watu nawajua wamepima Africa neg lkn wakipimwa huku wanakutwa pos, so be careful and don't play barely...[emoji135]
 
Waiting mkuu. vema ukasema kila kitu ili tukusaidie. Kama umeviona muda huu na umejamiana naye ni bora ukimbie hospitali ukapate PEP
Mkuu PEP hawatoi kama karanga, niliwahi kufuatilia upatikanaji wake mwishoni nilishindwa masharti!
 
Mkuu PEP hawatoi kama karanga, niliwahi kufuatilia upatikanaji wake mwishoni nilishindwa masharti!
Mkuu kwa hiyo dawa ambazo huwa nawaandikia clients Wangu kama PEP huwa nakosea?. Kama hujui kama kimya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…