GISAMBO
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 1,195
- 1,933
- Thread starter
- #521
Nishaelezea kila kitu rudini nyumaNi hiv huyu dada anakaa arusha nilikutanaga naye kwenye semina moja hiv tuka badilishana contact ki ukweli nilitokea kumpenda sana huyu cos ni mzuri sana yani mzurii natamani ata niweke picha zake but nimeona sio poa kisuuu yani white ana kashepu flan hv hatari huo mdomo sasa yani ni mzuri kiukweli sasa baada ya mimi kumtongoza ilimchukua mda sana kunielewa kidogo nikate tamaa but mwisho wasiku alinikubalia mapenzi ya kaanza kwa phone yupo Arusha nipo Dsm yeye alisomea marketing na alikua anatafuta kazi nikajitoa muhanga mzee kusaka ajira kwa ajiri ya mrembo ....