BeNNy Mamba
Member
- Jun 21, 2016
- 75
- 66
Hapo utakuwa umenitafsiria lakin hujanijibu kitaalam... embu nijibu kitaalam Dr... Hali ya maambukiz haijulukan c itakua Hana maambukiz huyo.?Hali ya maambukizi haijulikani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo utakuwa umenitafsiria lakin hujanijibu kitaalam... embu nijibu kitaalam Dr... Hali ya maambukiz haijulukan c itakua Hana maambukiz huyo.?Hali ya maambukizi haijulikani
Aaaahh ni kweli kabisa.. Mimi kuna moja ilinitokea nikiwa hospital niliona huruma sana..Hazipaswi kua hivyo HIV isikie kwa jirani, fikiria ikupate na dawa zikukatae? Tusiwanyanyapae tu waathirika.
... Ni kweli mkuu.Thatz wise, mapenzi co uadui....mnaachana kw heshima bila kudhalilishana, ht mm nina exes kibao wamebaki kuwa marafiki wazuri sn kwng!
Mkuu ina maana ukiwa unakunywa hizo dawa pombe huruhusiwi kunywa?Wengi ni wale wavivu wa kunywa dawa wanakunywa leo kesho wanasahau au wanakumbuka baada ya siku tatu, wengine ni kutokana na matatizo ya kisaikolojia, wengine ulevi na utumiaji wa madawa ya kulevya. Watu hawa wanafanya dawa ziwe sugu. Nilikutana na dada mmoja yeye tangu anaanza kutumia dawa zimemkataa, kwahiyo inabidi apewe cocktail na kuchekiwa kila mwezi. Tumaini lake ni hizi dawa mpya zilizogunduliwa sasa.
Unaruhusiwa kunywa lakini ulevi unawafanya wengine kusahau dose. Kunywa kwenyewe pia unywe kwa tahadhari, WHO recommendation ni siku tatu za kupumzika katika siku saba za wiki na ukumbuke units zinazoruhusiwa ni units 14 kwa wiki hii ni sawa na chupa moja ya wine kwa wiki.Mkuu ina maana ukiwa unakunywa hizo dawa pombe huruhusiwi kunywa?
Naomba nilijue hili kwanza kabla sijaenda kupima kwa mara nyingine..
[emoji38] [emoji38] [emoji38] pana chezea papuchi ww, ht ingekuwa bunju angezifuata!Kweli nyapu tamu,ulifata ndom Mwenge?[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kuquote paragraph ndefu hivi.Mkuu bila shaka ni mdau mkubwa wa hizi mambo
Anauliza kuhusu hyo PEP?hata mm ningependa kupata shule kidogo
Ni ARV na ART ila usihofu kama umekuta anavyo Mke wako .utafiti umethibitisha kama mtu anatumia dawa vizuri hawezi kumuambukiza mwenzaUsikute umeleta demu afu umepiga kavu, kaenda kuoga umesearch kwa bag yake ukakutana navyo
Hapo ndipo utakapojua maana ya neno love
Yani anakuwa hajapima afya yake,au amepima lakin majibu yana utata,so anapewa tena appointment after 2 weeksHapo utakuwa umenitafsiria lakin hujanijibu kitaalam... embu nijibu kitaalam Dr... Hali ya maambukiz haijulukan c itakua Hana maambukiz huyo.?
We mwache2Uumekuta.mkeo kavificha ndani
Mhu. HapanaKuna wale wa jamiiforum, whatsapp na facebook huko kote unaweza tongozwa
Majanga kivipi??Waliopata majanga je?
Kazana tu kupiga goti mkuu.I feel the same natamani mke wangu ashushwe
Nipo Nipo hivyo mkuuNa ww uwe malaika kabla yy hajawa malaika
Nipo peponi karibu.Nimeshuka tayari, uko wapi nije
wafanyakazi hospitali ukijidunga sindano au kiwembe kwa bahati mbaya ukimtibu mgonjwa kama mgonjwa akikutwa na maambukizi unatumia. Ila nawewe unapimwa pia kwanza.Vinatumika baada ya maambukizi, kwa mfano ikigundulika ulisex na demu mwenye ngoma au kupasukiwa na condom halafu ukawahi hospital wanakuanzishia dozi ya mwezi mzima.
Hahahahaha mkuu pongezi zikufikie kwa haya mawazo maana umeifanya wkend yangu Kuwa murua kbs.Huu uzi kwakweli unastahili pongezi maana kwa mara yakwanza humu kuna watu wamekiri madhaifu yao .
1. Wazinzi wameahidi wataacha au kupunguza.
2. Wazee wa CHAPUTA wao wamesema ni vyema kurudi ktk chama chao kuliko kuja kupatwa kama ya mtoa uzi.
3. Wazee wa kuchepuka nao wameonekana kupatwa na hofu kubwa.
4.Wazee wa vibamia,kwa mara ya kwanza wapo waliosema vimkia vyao vimegoma kufunction,hii ikimaanisha wana vimkia yaani vibamia.