Nishanusurika kula mzigo kavu kavu, kwa Manzi ambaye kaungua na alishaanza dose.
Kipindi cha ujinga wangu enzi niko chuo Fulani huko mji kasoro bahari, wakati Wa Likizo fupi Yule mtoto mrembo alibaki room kwao mwenyewe alikuwa anaishi upstairs kule ambapo wadada wengi "Wakata KIU" walishi kwenye lile Bweni lenye jina lifananalo na Yule mtoto wa babu ambaye alihamia ukawa mtoto anayetajwa kuuza sembe.
Nimejitosa nimepanda Juu nikaingia room, tukaanza libeneke kula Sana chakula ya Mtoto, ndimi kwa Sana, dogo chezea Sana Mic, na yote yenye kuhusika. Hatua iliyokuwa inafuata nikubutua Kombolelaaaa.
Wote tuko Kama tulivyozaliwa, dem akaniambia ngoja niende toi kwanza nikapunguze Maji, nikasema nenda bas usikawie, nikabaki room. Bahati mbaya kwake/nzuri kwangu kule upstairs kulikuwa na tatizo la maji so vyoo vilikua vinatema Sana, aliopt kwenda vyoo vya chini umbali na muda ukaongezeka.
Alivyotoka tuu, Mungu ni mwema Sana kuna roho ikaniambia hebu kafungue kabati lake sitaisahau ile siku, nilichokikuta kwenye pochi moja wapo mule ndani ya kabati lake ni videngo vya ARVs pamoja na kadi lake analohudhuria clinic.
Yaaani nilitokwa jasho la hatari, nikajikuta natetemeka na tumbo la "uharo" likanishika nilishtuka mno. Coz kwa vyovyote ilikuwa tunakula kavu game ilikuwa haina maandalizi mengi.
Nikarudishia vitu Kama nilivyovikuta nikarudi bed. Anarudi kapanda bed tuendelee kibamia kikagoma kabisaaa hata kunyanyuka. Akawa ananishangaa tu, nikajibaraguza kwa kuzuga zuga game likaarishwa na kufutwa rasmii.
Ila kwa kweli huwezi HUWEZI KABISA KUMUHISI KUWA ANAO.
Tuache kupima kwa Macho tutakufa tuishe.