[emoji36][emoji36][emoji36] Wkend njema mkuu Ila waweza pitia pitia tena huu Uzi maana kuna mengi huko wapo waliokua viwanja Jana Usiku wao wakasema mbele zao kuna warembo Ila habari hii iliwafanya wawe kama wamekunywa mafuta ya taa na wengine Leo hawajaenda viwanja na hawana mpango huo.Chezea doze wewe[emoji47][emoji47][emoji22][emoji22]Hahahahaha mkuu pongezi zikufikie kwa haya mawazo maana umeifanya wkend yangu Kuwa murua kbs.
Hii kitu mi nimeanza nayo tangu Jana kiongozi. Yaan tangu nimejiunga jf Jana ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kufuatilia uzi hadi mwisho.[emoji36][emoji36][emoji36] Wkend njema mkuu Ila waweza pitia pitia tena huu Uzi maana kuna mengi huko wapo waliokua viwanja Jana Usiku wao wakasema mbele zao kuna warembo Ila habari hii iliwafanya wawe kama wamekunywa mafuta ya taa na wengine Leo hawajaenda viwanja na hawana mpango huo.Chezea doze wewe[emoji47][emoji47][emoji22][emoji22]
siyo ni fluconazoleNaomba jibu kama ndio hiv au ni vya nin View attachment 489846View attachment 489847
mbona hayo ni makubwa? zina fanana na FLUCONAZOLE HIZONi ARV. Trust me
Mkuu lakini ARV ni kubwa kweli kweli. Tena zimepigwa namba kwa ndani. Binafsi sijawahi kuona fluconaZole yenye mamba. Kama ipo naomba uipige Picha na uiweke hapa niifahamumbona hayo ni makubwa? zina fanana na FLUCONAZOLE HIZO
Kaka nitumie picha yake pm mkuuJamani ukimwi Upo aupimwi kwa macho ata kidogo aiseee msimuamin mtu ata awe mzuri vip cos nikiwadondoshea picha hapa akuna atakaye Amini japo siwezi kuweka picha
Imepatikana wapi huko?Hivi dawa ya ukimwi si imeshapatikana
Samaki utamuita aki!Hayajakukuta mkuu...USIOMBE YAKUKUTE yaani maji utayaita mma
MKUU USIENDE MOCHWARI NI FLUCONAZOLE TU HIZONdy tunaelekea mochwari muda huu, ahsanteni kwa ufafanuzi
Both of you nakubaliana nanyi, Kabissa binafsi kuna jambo nilimkosea mke wangu na ilimsukuma kuchepuka pengine kwa sababu ya hasira, nilikuja kugundua badae alichokifanya. As gentleman nilimsamehe na Maisha yaliendelea.Hilo kweli
Haya mambo ya ukimwi yanafanana sana. Nimeleta true story kama hii ila watu wametokwa povu sana. Na wewe watakuita umecopy hapa hii story. Kuna jamaa yangu alikaa na lijimama lenye tigo ya kutosha ilikiwa lina ngoma,kwa muda mrefu sana ila ni siku Moja tu alikuja kuona kadi na dawa za ARV kwenye kabati ya yule jimama. Yaliyotokea ni siri yangu. Ila watu wamenitolea mipovu utadhani yalikuwepo wakati nagegeda. Binadamu ni shida sanaNishanusurika kula mzigo kavu kavu, kwa Manzi ambaye kaungua na alishaanza dose.
Kipindi cha ujinga wangu enzi niko chuo Fulani huko mji kasoro bahari, wakati Wa Likizo fupi Yule mtoto mrembo alibaki room kwao mwenyewe alikuwa anaishi upstairs kule ambapo wadada wengi "Wakata KIU" walishi kwenye lile Bweni lenye jina lifananalo na Yule mtoto wa babu ambaye alihamia ukawa mtoto anayetajwa kuuza sembe.
Nimejitosa nimepanda Juu nikaingia room, tukaanza libeneke kula Sana chakula ya Mtoto, ndimi kwa Sana, dogo chezea Sana Mic, na yote yenye kuhusika. Hatua iliyokuwa inafuata nikubutua Kombolelaaaa.
Wote tuko Kama tulivyozaliwa, dem akaniambia ngoja niende toi kwanza nikapunguze Maji, nikasema nenda bas usikawie, nikabaki room. Bahati mbaya kwake/nzuri kwangu kule upstairs kulikuwa na tatizo la maji so vyoo vilikua vinatema Sana, aliopt kwenda vyoo vya chini umbali na muda ukaongezeka.
Alivyotoka tuu, Mungu ni mwema Sana kuna roho ikaniambia hebu kafungue kabati lake sitaisahau ile siku, nilichokikuta kwenye pochi moja wapo mule ndani ya kabati lake ni videngo vya ARVs pamoja na kadi lake analohudhuria clinic.
Yaaani nilitokwa jasho la hatari, nikajikuta natetemeka na tumbo la "uharo" likanishika nilishtuka mno. Coz kwa vyovyote ilikuwa tunakula kavu game ilikuwa haina maandalizi mengi.
Nikarudishia vitu Kama nilivyovikuta nikarudi bed. Anarudi kapanda bed tuendelee kibamia kikagoma kabisaaa hata kunyanyuka. Akawa ananishangaa tu, nikajibaraguza kwa kuzuga zuga game likaarishwa na kufutwa rasmii.
Ila kwa kweli huwezi HUWEZI KABISA KUMUHISI KUWA ANAO.
Tuache kupima kwa Macho tutakufa tuishe.
Yeah zipo scenarios zinazofanana...Haya mambo ya ukimwi yanafanana sana. Nimeleta true story kama hii ila watu wametokwa povu sana. Na wewe watakuita umecopy hapa hii story. Kuna jamaa yangu alikaa na lijimama lenye tigo ya kutosha ilikiwa lina ngoma,kwa muda mrefu sana ila ni siku Moja tu alikuja kuona kadi na dawa za ARV kwenye kabati ya yule jimama. Yaliyotokea ni siri yangu. Ila watu wamenitolea mipovu utadhani yalikuwepo wakati nagegeda. Binadamu ni shida sana
Kuna Uzi nilileta hapa kile kilichozungumzwa na wadau kibao hapa imeonekana ni kucopy na kupaste. Nimejitetea mpaka nikaona hawana point. Na mwisho nilisistiza kuwa issue kubwa kutoka kwenys story ni kujifunza. Haya mambo yapo kwenye jamiiYeah zipo scenarios zinazofanana...
Na mambo haya tusimulianapo iwe fundisho na tahadhari kwa pande zote mbili. Kwani zipo mechi nyingi Sana hususan kwa wana vyuo zile ambazo hazina maandalizi ya kutosha mechi za kirafiki za kushtukiza.
No hard feelings Rais2020 bando lako simu yako. Huna sababu ya kujitetea Sana... Ukweli au uwongo unaujua wewe na nafsi yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] huna ulazima wakujitetea Sana ingawa pia wapo watu wenye tabia hiyo ya kucopy na kupaste story ili wacheze na akili/hisia za wadau. So usijipe mzigo wa kujitetea bila umuhimu wowote.Kuna Uzi nilileta hapa kile kilichozungumzwa na wadau kibao hapa imeonekana ni kucopy na kupaste. Nimejitetea mpaka nikaona hawana point. Na mwisho nilisistiza kuwa issue kubwa kutoka kwenys story ni kujifunza. Haya mambo yapo kwenye jamii
Umeongea rutuba mtupu. Ubarikiwe.No hard feelings Rais2020 bando lako simu yako. Huna sababu ya kujitetea Sana... Ukweli au uwongo unaujua wewe na nafsi yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] huna ulazima wakujitetea Sana ingawa pia wapo watu wenye tabia hiyo ya kucopy na kupaste story ili wacheze na akili/hisia za wadau. So usijipe mzigo wa kujitetea bila umuhimu wowote.