Ni lazima kwa sababu zile dawa si nzuri kwa binadamu.wafanyakazi hospitali ukijidunga sindano au kiwembe kwa bahati mbaya ukimtibu mgonjwa kama mgonjwa akikutwa na maambukizi unatumia. Ila nawewe unapimwa pia kwanza.
Huyo mdada aliekuokoa na janga alitakiwa awe mkeo.... Nilianza sala tano mkuu, kwa kweli siwezi sahau hili tukio. Kama siyo yule dada wa mwanzo sijui ingekuwaje.
Mkuu kwanza pole sana. Hongera sana pia kwa kumtafutia bi dada kazi. Pia nimpongrze huyo bi dada sana kwa kukulinda wewe kwa hali mali kwa muda wote toka mmefahamiana. Hakina anavroho ya kipekee na ya binadamu. Japo hakutaka kukuambia wazi lakini alihakikisha anakulinda. Alijua akikuambia kwanza unaweza usiamini pili unaweza mkimbia kabisa.Naomba jibu kama ndio hiv au ni vya nin View attachment 489846View attachment 489847
Huoni kwamba pekenyua yake inaweza kuwa imemuokoa asipate maambukizi? Hasingejua kuna siku angelazimisha angekula kavu.Jamanii, hivi walosema usimchunguze sana bata hutomla mliwaona wapuuzi eeeh!???haya pekenyu pekenyu umekutana navyoo Iooooh mtakutana na mabom cku yake mfe.
ArvNa mimi nisaidieni ivi ni vidonge vya aina gani maana nimevikuta sehem nikapiga picha plz
Huyo bro wako msela sana. Ana roho ngumu kama mtengeneza bunduki anajua hii inaenda kuuwa mtu.Mkuuu pole sana, CASE yako inataka fanana flani na tukio lililo nitokea kipindi cha nyuma. Ingawa mazingira tofauti kidogo.
Nakumbuka way back nilikuwa nasoma shule moja ya boys, tulikuwa tukikaaa kota , kama hujuavyo kota kuna mchanganyiko wa watu wengi.
Pale kuna dada mmoja niliwahi toka nae mara kadhaaa, sasa akaja sist wake toka huko alikotoka.
Yule sist alikuwa mzuri sana, ila hakuwa anasoma wala nini. Aliishia Darasa la saba, aliletwa pale ajiendeleze kibiashara, ulikuwa ukimtongoza tu kutokana na maadili yao huko anakukwepa hatari.
Ila kama hujuavyo hata simba na ukali wake bado analiwa mzigo. Sijui nini kilimsibu akaanza gawa pale kota kwa wazeee kama watatu hivi, na wao wazee walikuwa HIV+ inajulikana kwa wenyeji wa pale na wafanyakazi wenzao, Hakuna siri
Wazee walikahonga kadada kale wakawa tafuna, sasa kuna kipindi nilikutana nacho nikawa nampanga panga, namchezea akija home , till kuna siku tulaelewana usiku mida baada ya usiku.
Sasa bwana, siku hiyo kama TANESCO walijua, umeme ulikata nikawa nimekaa chemba moja nje (kijiweni tu ).
Yule binti alitoka kununua mishumaaa, ilikuwa kama saa Tatu usiku, daah nika mtaiti, shika shika kiuno, akasema acha haraka uta unguza picha ngoja nipeleke mishumaaa ,kisha nioge then nakuja au UNATAKA KULA VICHAFU???
Bandugu, kumbe nyuma yangu alikuwa anapita mshua ( alivunga ). Kufika ndani tu, katumwa dogo aje niita, nazama ndani , naona kalabai imewaka vema, naonekana vizuri kabisa.
Yupo mshua, maza na broo. Mzeee alichosema haya ongeeni na ndugu yenu huyo, anaambiwa akaoshewe ili ale visafi, dingi hakuwahi zingua hata siku moja hizo ishu lakini that day alitoa intro nzuri, takatifu
Maza akakazia nika kabidhiwa kwa bro ndio akanichana vingi sana.
Ebwana nilkuwa mpole kama nimefumaniwa, ile kutoka nje, baada ya mazungumzo yale, nikasepa geto, lilikuwa geto la nje na share na broo.
Daah yule demu akaja kugonga, bro akaniulza nani huyo, nika mjibu yule demu.
Bro mwenyewe hakuwaa aged kivile about 5years older,
Sikuamini alicho fanya, kaniuliza unajua kutumia ndom nikasema ndio. Akanipa SALAMA enzi hizo walipewa na FEMINA.
Nikaenda nyooosha goti kwa tahadhari sana.........
KITU AMBACHO NIKIKUMBUKA NAJIONA MJINGA, NILIKUWA NACHEZA KAMALI AISEEEE
Ni kweli.Sababu za kitaalam ni zipi?Kuna kipindi kweny group letu la whatsapp niliwahi waambia jamaa kwamba possibility ya mwanaume kupata HIV kutoka kwa mwanamke ni ndogo ukilinganisha na possibility ya mwanamke kupata HIV kutoka kwa mwanaume. Nilipingwa sana ila kupitia thread hii naona baadhi ya post zinathibitisha madai yangu.
Ni kweli kaka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we noma sana. Kwaiyo sisi wazee CHAPUTA tuendelee tu nakamchezo ketu?Huu uzi kwakweli unastahili pongezi maana kwa mara yakwanza humu kuna watu wamekiri madhaifu yao .
1. Wazinzi wameahidi wataacha au kupunguza.
2. Wazee wa CHAPUTA wao wamesema ni vyema kurudi ktk chama chao kuliko kuja kupatwa kama ya mtoa uzi.
3. Wazee wa kuchepuka nao wameonekana kupatwa na hofu kubwa.
4.Wazee wa vibamia,kwa mara ya kwanza wapo waliosema vimkia vyao vimegoma kufunction,hii ikimaanisha wana vimkia yaani vibamia.
mvuv ulichokuwa unawaambia hao jamaa zako huko kwenye group lako ni ukweli mtupu, na zipo sababu lukuki za kuthibitisha ukweli huo both scientifically an theoreticaly. Walibisha kwa kutokujua au kujifanya wanajua while hawajui kitu.Kuna kipindi kweny group letu la whatsapp niliwahi waambia jamaa kwamba possibility ya mwanaume kupata HIV kutoka kwa mwanamke ni ndogo ukilinganisha na possibility ya mwanamke kupata HIV kutoka kwa mwanaume. Nilipingwa sana ila kupitia thread hii naona baadhi ya post zinathibitisha madai yangu.
Kumbe tuko wote mkuu me kidogo nikeshe. Ila huu uzi wangepatikana kaveli na deception pangekua patamu sana.Hii kitu mi nimeanza nayo tangu Jana kiongozi. Yaan tangu nimejiunga jf Jana ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kufuatilia uzi hadi mwisho.
Alifanya jambo la msingi sana.Huyo bro wako msela sana. Ana roho ngumu kama mtengeneza bunduki anajua hii inaenda kuuwa mtu.
Utakuja kutibika tu, mbona malaria takes ovee 40 years kupata dawa?Kakini naskia HIV inatibikakwa Dawa Asiri na Pia Israeli wamegundua Dawa ya kisayansi nikweli ugonjwa huu unatibika? mm kuna MTU aliniambia ameshuudia Watu 4 wmepona baada ya kutumia Dawa za asir kutoka nch mbili tofaut zanje inawezekana ikawa kwel Dawa ipo