Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Kuna jamaa mmoja ni baharia wa masafa marefu. Mara nyingi hu spend muda mwingi akiwa Italy. Jamaa ni tajiri siyo mchezo. He is about 52yrs old. Jamaa alipothibitika kaathirika alijikubali na kuanza kumeza dawa za ARV lakini hali ilipotengemaa aliacha dawa na kuendekeza tena umalaya yaani akawa ni MTU wa totozi hatari. Jamaa alirudi ili aendelee na dawa. Kwa kuwa ilikuwa ni siku nyingi sana aliacha dawa za ARV basi tuli subject kwanza kwenye CTX kwa week mbili,and after that akaendelea na Arv kama kawaida. Jamaa ailirudi kichwani kikuwa na fungus,miguu haiwezi tena kuvaa kiatu isipokuwa sendo tu. Jamaa alikuwa ana 127cd4+ cells. Ni hatari. Alikuwa kiakili kadata.Mkuu nilifanya nao kazi kama sehemu ya field work yangu miezi mitatu lakini nilipata experience kubwa sana. Ninakumbuka mama mmoja kwa maelezo ya wafanya kazi alihudhuria clinic kwa miaka 20 baada ya mume wake kufariki kwa ugonjwa. Asili yake ni Malawi, baada ya umri kusonga familia yake ilimshauri arudi nyumbani, amefika kule wakamshauri aokoke na kumtegemea Mungu, baada ya muda nikiwa pale habari zilifika alifariki baada ya kuacha kutumia ARV's.
Somo
Unapogundulika umeathirika usiache dawa. Jikubali. Jiheshimu. Fanya mazoezi. Boresha lishe. That's.