Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Mkuu nilifanya nao kazi kama sehemu ya field work yangu miezi mitatu lakini nilipata experience kubwa sana. Ninakumbuka mama mmoja kwa maelezo ya wafanya kazi alihudhuria clinic kwa miaka 20 baada ya mume wake kufariki kwa ugonjwa. Asili yake ni Malawi, baada ya umri kusonga familia yake ilimshauri arudi nyumbani, amefika kule wakamshauri aokoke na kumtegemea Mungu, baada ya muda nikiwa pale habari zilifika alifariki baada ya kuacha kutumia ARV's.
Kuna jamaa mmoja ni baharia wa masafa marefu. Mara nyingi hu spend muda mwingi akiwa Italy. Jamaa ni tajiri siyo mchezo. He is about 52yrs old. Jamaa alipothibitika kaathirika alijikubali na kuanza kumeza dawa za ARV lakini hali ilipotengemaa aliacha dawa na kuendekeza tena umalaya yaani akawa ni MTU wa totozi hatari. Jamaa alirudi ili aendelee na dawa. Kwa kuwa ilikuwa ni siku nyingi sana aliacha dawa za ARV basi tuli subject kwanza kwenye CTX kwa week mbili,and after that akaendelea na Arv kama kawaida. Jamaa ailirudi kichwani kikuwa na fungus,miguu haiwezi tena kuvaa kiatu isipokuwa sendo tu. Jamaa alikuwa ana 127cd4+ cells. Ni hatari. Alikuwa kiakili kadata.

Somo

Unapogundulika umeathirika usiache dawa. Jikubali. Jiheshimu. Fanya mazoezi. Boresha lishe. That's.
 
Kwanza ukiwa kwenye undetectable status CD4 wanaongezeka na unarudia hali yako ya kawaida. Tofauti yako wewe na asiyeathirika ni kuwa unakunywa dawa tu. Wanasema hizi dawa mpya zilizogundulika kama ile vaccine ambayo ina nguvu ya ku-suppress virus kwa miezi 18 itafanya kazi vizuri kwa watu wenye undectectable status. Hii ni hatua kubwa sana.
 
Nikweli mno Swahiba Sky Eclat Kiujumla UKIMWI ni ugonjwa tunaouogopa Sana pengine kutokana na ukweli kwamba hauna tiba, ila kuna mifano mingi mingi mno ya watu walioupata na wameishi zaidi ya miaka 15/20. Jambo la muhimu ni kujua Hali yako ya kiafya jambo ambalo ndio mtihani mkubwa tunaohofia.
Kwa sasa kuna namba kubwa sana ya watoto wadogo waliozaliwa na vvu.
Kuna namba kubwa sana ya watoto walio secondary wakiwa na vvu
Kuna namba kubwa sana ya watoto walio primary wakiwa na vvu
Kuna namba kubwa sana ya wanachuo walio na vvu
Kwa hali hii kama wananchi watashindwa kujenga uaminifu katika mahusiano kuna hatari kubwa sana ya maambukizi kupaa juu zaidi.
Katika kituo kimoja hivi cha mkoa kuna watu walio na vvu chini ya 18yrs kama 87. Na hao ni wale active clients.

Somo

Kwa wale wanaopenda watoto vibinti vidogo vidogo eti kwa visingizio kuwa they are free from HIV hakika mwafaaaaa.
 
Kwa sasa kuna namba kubwa sana ya watoto wadogo waliozaliwa na vvu.
Kuna namba kubwa sana ya watoto walio secondary wakiwa na vvu
Kuna namba kubwa sana ya watoto walio primary wakiwa na vvu
Kuna namba kubwa sana ya wanachuo walio na vvu
Kwa hali hii kama wananchi watashindwa kujenga uaminifu katika mahusiano kuna hatari kubwa sana ya maambukizi kupaa juu zaidi.
Katika kituo kimoja hivi cha mkoa kuna watu walio na vvu chini ya 18yrs kama 87. Na hao ni wale active clients.

Somo

Kwa wale wanaopenda watoto vibinti vidogo vidogo eti kwa visingizio kiwa they are free from HIV hakika mwafaaaaa.
Wewe uncle alikuwa kidogo na pesa ya kubadilisha mboga, baada ya kufiwa na mkewe, rafiki yake alimshauri amuoe binti yake, uncle akiwa 55 alikabidhiwa ka binti ka miaka 20 alichanyanyikiwa, alioa kabisa kanisani kumbe ka-binti kameathirika.
 
Si unaona sasa. Ni hatari sana.
Nina mfano sawa na huu. Kuna jamaa ni mstaafu Mwalimu ni 62 yrs old ila ana nguvu za kutosha. Ameishi na mke wake miaka kibao katika ndoa. Basi MZEE wa watu alipata ka pension akajiona yeye ndo top in town. Basi akapata kibinti cha miaka 20 kumbe kibinti kimeathirika. Yule MZEE alipata maambukizi na alikufa haraka sana.

Somo

Nadhani wanafuatilia huu Uzi ni vema waelewe wazi kuwa usimpime MTU vvu kwa umri wake.utakwenda na maji faster
 
Sasa sisi wanaume duh tutapona kweli na ngoma? Mademu wananvyojiremba, tako kubwa, na hii misosi inatoa nyege twaaaafwaaaaaaaaaaa
 
Rais2020 Mkuu unaongea mifano ambayo na Mimi nimekutana nayo kwa karibu Yote.

Daaaaaah...... Jamii yetu, isipobadilika na tukaacha hizi ngono zembe za hovyo hovyo TUTAKUFA MNOO.

nawafahamu waathirika kadhaa mabinti ni "Wazurii mno" ninahakika kwa zaidi ya 200% kwamba ukikutana naye huwezi muhofia wala kumuhisia kuwa ameukwaa, kwa Masikitiko miongoni mwao wapo humu mitandaoni na hutupia mno "vipicha picha" vizuri vyenye kuonyesha uzuri wao, alafu nakuta vijana wa kiume wanatiririka mnooo kuomba omba social closeness, Sasa huwa najiuliza tuu hivi huko inbox wanakubalianaje? Je wanapeana? Na wakipeana wanachukua tahadhari?

TUBADILIKE wandugu Wake kwa Waume tuko kwenye risk Sana, tukila mambo tulindane.
 
Kuna jamaa mmoja ni baharia wa masafa marefu. Mara nyingi hu spend muda mwingi akiwa Italy. Jamaa ni tajiri siyo mchezo. He is about 52yrs old. Jamaa alipothibitika kaathirika alijikubali na kuanza kumeza dawa za ARV lakini hali ilipotengemaa aliacha dawa na kuendekeza tena umalaya yaani akawa ni MTU wa totozi hatari. Jamaa alirudi ili aendelee na dawa. Kwa kuwa ilikuwa ni siku nyingi sana aliacha dawa za ARV basi tuli subject kwanza kwenye CTX kwa week mbili,and after that akaendelea na Arv kama kawaida. Jamaa ailirudi kichwani kikuwa na fungus,miguu haiwezi tena kuvaa kiatu isipokuwa sendo tu. Jamaa alikuwa ana 127cd4+ cells. Ni hatari. Alikuwa kiakili kadata.

Somo

Unapogundulika umeathirika usiache dawa. Jikubali. Jiheshimu. Fanya mazoezi. Boresha lishe. That's.
Hapa ndiyo ninawashangaa wanaoogopa kupima, HIV ukiiacha kwa muda mrefu mpaka inaathiri ubongo matibabu yake yanakuwa magumu kidogo.
 
Rais2020 Mkuu unaongea mifano ambayo na Mimi nimekutana nayo kwa karibu Yote.

Daaaaaah...... Jamii yetu, isipobadilika na tukaacha hizi ngono zembe za hovyo hovyo TUTAKUFA MNOO.

nawafahamu waathirika kadhaa mabinti ni "Wazurii mno" ninahakika kwa zaidi ya 200% kwamba ukikutana naye huwezi muhofia wala kumuhisia kuwa ameukwaa, kwa Masikitiko miongoni mwao wapo humu mitandaoni na hutupia mno "vipicha picha" vizuri vyenye kuonyesha uzuri wao, alafu nakuta vijana wa kiume wanatiririka mnooo kuomba omba social closeness, Sasa huwa najiuliza tuu hivi huko inbox wanakubalianaje? Je wanapeana? Na wakipeana wanachukua tahadhari?

TUBADILIKE wandugu Wake kwa Waume tuko kwenye risk Sana, tukila mambo tulindane.
Mkuu nilianzisha uzi mmoja hivi nikasakamwa sana kama ulivonishauri niwapotozee. Hii mifano inafanana sana mkuu. Cases ni zile zile na jinsi unavosambaa ukimwi pia njia zake ni zile zile.
 
Hapa ndiyo ninawashangaa wanaoogopa kupima, HIV ukiiacha kwa muda mrefu mpaka inaathiri ubongo matibabu yake yanakuwa magumu kidogo.
Sky Eclat my dear kupima kunataka moyo mnooo tena ukizingatia uwe umeshakula kula kavuu! Kikawaida kawaida inaogopesha Sana, japo faida za kupima ni nyingi nyingi mno kiafya na kisaikolojia.
 
Paia ukumbuke virusi vikiingia havipigi hodi, ni kheri ufahamu wageni walio kwenye mwili wako.
 
Hapa ndiyo ninawashangaa wanaoogopa kupima, HIV ukiiacha kwa muda mrefu mpaka inaathiri ubongo matibabu yake yanakuwa magumu kidogo.
Ni kweli. Mama mmoja aliacha dawa alizokuwa anatumia baada ya kuahauriwa aokoke. Dah! Haikumchukua siku nyingi sana akapata crypyococal meningitis. Haikumchukua hata siku tano toka siku alikuwa admitted akawa amekufa maana hakuwa na uwezo wa Ku accommodate gharama za dawa. Sawa wanatibiwa Bure kumbuka dawa hakuna kwenye public hospitals. Hapo lazima ufe kama alivosema Rais wenu mpenda shilawadu
 
Mkuu nilianzisha uzi mmoja hivi nikasakamwa sana kama ulivonishauri niwapotozee. Hii mifano inafanana sana mkuu. Cases ni zile zile na jinsi unavosambaa ukimwi pia njia zake ni zile zile.
Once ukikutana na hizo cases huwezi ona ni fabricated. Sisi tunatatizo la ujiaji mwingi so tuendelee kuelimishana huku tukivumiliana na kusameheana tu Hakuna namna.
 
Paia ukumbuke virusi vikiingia havipigi hodi, ni kheri ufahamu wageni walio kwenye mwili wako.
Nakubaliana na wewe mtaalamu. Ukipima utapata wigo wa kufahamu namna ya kukabiliana na hali yako. Ukikaa bila kujua hali yako wakati umeathirika ni hatari sana maana oppotunist infections zitakuua mapema sana. Naogopa sana mtu akipata fungus wa kwenye ubongo maana chance ya kufa ni kubwa jamani
 
Ni kweli. Mama mmoja aliacha dawa alizokuwa anatumia baada ya kuahauriwa aokoke. Dah! Haikumchukua siku nyingi sana akapata crypyococal meningitis. Haikumchukua hata siku tano toka siku alikuwa admitted akawa amekufa maana hakuwa na uwezo wa Ku accommodate gharama za dawa. Sawa wanatibiwa Bure kumbuka dawa hakuna kwenye public hospitals. Hapo lazima ufe kama alivosema Rais wenu mpenda shilawadu
Oo dear, nimesoma mahali kuwa South Africa wanakatwa percentage ya mshahara ili serikali imudu gharama za ARV's. Hata kwa nchi za magharibi ambako matibabu ni bure, wakifanikiwa kupata dawa ya kutibu mara moja hiyo pesa inaweza kwenda kwenye research kaza za cancer.
 
Nakubaliana na wewe mtaalamu. Ukipima utapata wigo wa kufahamu namna ya kukabiliana na hali yako. Ukikaa bila kujua hali yako wakati umeathirika ni hatari sana maana oppotunist infections zitakuua mapema sana. Naogopa sana mtu akipata fungus wa kwenye ubongo maana chance ya kufa ni kubwa jamani
Pia kama hujijui utakuwa unausambaza kwa wengine na hivyo kuzidi kuliletea mzigo taifa.
 
Back
Top Bottom