Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Kama umekutana na demu anayetumia hivyo mmeshiriki bila condom ,na bado masaa 72 hayajaisha ukiwa hospital utapata PEP (Post Exposure Prophylaxis) na utakuwa salama ...Asante
Dokta maduka ya madawa huwez pata? Na je hosp watakuelewa?
 
Wewe bila shaka ni baba mdogo wa Shigongo. Ndugu wa Shigongo wote tutagundua haps
 
Je haziuzwi? Vigezo gan na masharti gani ufuate?
Mkuu kumbuka hizo ni ARVs kama zilivo ARVs hivo haziuzwi kokote zaidi ya kutolewa hospitali. Ni dawa wanayopewa watu ambao wapo exposed na vvukama vile kujichoma sindano kwa BAHATI mbaya kwa mgonjwa,kubakwa n.k ili kuzuia virus wasibind kwenye host cells. Hizi dawa zinafanya kazi ndani ya Masaa 72 toka uwe exposed na vvu.
 
maarufu kama PEP. AGonge tu mtu wangu, havina madhara.
 
Jamani ukimwi Upo aupimwi kwa macho ata kidogo aiseee msimuamin mtu ata awe mzuri vip cos nikiwadondoshea picha hapa akuna atakaye Amini japo siwezi kuweka picha
tudondoshee hata akiwa kageuka kwa nyuma mkuu...tutashukuru
 
Inshort huna haja ya kupanick dada anakupenda na ni nstaarabu sana ndo maana alikuwa anakugomea na ulipo force akakwambia tumia ndomu.
Hakuwa na nia ya kukuua
 
yielewiiii.. na masaa 72 yameisha... ndio hivyo mkuu ushakanyaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…