Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
hahahaha sasas mbona hujamjibuPolee masikini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha sasas mbona hujamjibuPolee masikini
pole mkuu we kapime si wote wanaopakata wenye hiv wanaukwaaThanks mkuu can't believe it
Dokta maduka ya madawa huwez pata? Na je hosp watakuelewa?Kama umekutana na demu anayetumia hivyo mmeshiriki bila condom ,na bado masaa 72 hayajaisha ukiwa hospital utapata PEP (Post Exposure Prophylaxis) na utakuwa salama ...Asante
Hazitolewi kwenye maduka ya dawa. Zinatolewa hospital tu.Dokta maduka ya madawa huwez pata? Na je hosp watakuelewa?
Je haziuzwi? Vigezo gan na masharti gani ufuate?Hazitolewi kwenye maduka ya dawa. Zinatolewa hospital tu.
Wewe bila shaka ni baba mdogo wa Shigongo. Ndugu wa Shigongo wote tutagundua haps... Miaka kadhaa nyuma nilukutana na changamoto kama hii : Nilikutana na mlimbwende mmoja kwenye harusi ya jamaa yangu na nikamzimikia kweli. Kila nikimsomesha wapiii, na baada ya miezi kadhaa nika give up,maisha yakasonga. Baadae nikapata mdada mwingine tunaendelea naye for some time, maybe a year, tukaachana.One day nikakutana na yule mlimbwende na surprisingly this time kum test kidogo tuu anakubali, na tukapanga kesho tufanye yalee mambo yetu. Kesho yake tukakutana, kikaanza kinywaji then tukaingia room, sasa wakati ndo tunaanza kupasha kabla ya mechi simu ikaanza kuita nikawa nachuna, yule mlimbwende anahisi nipokee kwanza labda ni muhimu, nikapokea, kumbe ni yule demu wangu tuliyeachana naye, nikataka kukata simu but akaniwahi kwamba.. '' wewe huyo uliyenaye hapo ni muathirika, na kama unafikiri ni uongo mpigie rafiki yako fulani muulize '' akakata simu!! Aisee nilipaniki hatari, mlimbwende akaniuliza vipi tena?? Nikamdanfanya kumetokea ajali na mdogo wangu yuko mahututi, mchezo ukaishia pale na akaondoka zake. Nitampigia jamaa yangu kupata uhakika, akasema ni kweli huyo ni muathirika, aisee huo mwezi ulikuwa mchungu sana kwangu... Baada ya hapo nikawa kila miezi sita napima but was found OK. Baadae, after a year or so yule mlimbwende akafariki kwa hilo tatizo.
Mkuu kumbuka hizo ni ARVs kama zilivo ARVs hivo haziuzwi kokote zaidi ya kutolewa hospitali. Ni dawa wanayopewa watu ambao wapo exposed na vvukama vile kujichoma sindano kwa BAHATI mbaya kwa mgonjwa,kubakwa n.k ili kuzuia virus wasibind kwenye host cells. Hizi dawa zinafanya kazi ndani ya Masaa 72 toka uwe exposed na vvu.Je haziuzwi? Vigezo gan na masharti gani ufuate?
Acha woga, watu wamekula wenye ngoma +, na wao wamepima mara kadhaa hawana. Weka story,Ngoja nivute pumzi niwape story
maarufu kama PEP. AGonge tu mtu wangu, havina madhara.Mkuu kumbuka hizo ni ARVs kama zilivo ARVs hivo haziuzwi kokote zaidi ya kutolewa hospitali. Ni dawa wanayopewa watu ambao wapo exposed na vvukama vile kujichoma sindano kwa BAHATI mbaya kwa mgonjwa,kubakwa n.k ili kuzuia virus wasibind kwenye host cells. Hizi dawa zinafanya kazi ndani ya Masaa 72 toka uwe exposed na vvu.
Unavuta pumzi jinsi ya kuanza, na inawezekana hatunaye tena. kesha tutoka.Sasa simulizi naona unaiwekea episodes kama gwajima
tudondoshee hata akiwa kageuka kwa nyuma mkuu...tutashukuruJamani ukimwi Upo aupimwi kwa macho ata kidogo aiseee msimuamin mtu ata awe mzuri vip cos nikiwadondoshea picha hapa akuna atakaye Amini japo siwezi kuweka picha
... Sijakulazimisha uamini hicho kilichonikuta, hili ni jukwaa huru ambapo tuna share real life experiences.Wewe bila shaka ni baba mdogo wa Shigongo. Ndugu wa Shigongo wote tutagundua haps
Inshort huna haja ya kupanick dada anakupenda na ni nstaarabu sana ndo maana alikuwa anakugomea na ulipo force akakwambia tumia ndomu.Ndungu yangu mmoja upande wa mama angu yupo pale voda Mama angu ndio aliniambia nikamuone kwa kisingizia me ndio nataka kaz bwana nikaenda nikachonga nae nika mueleza ukweli kwamba sio mim ni mke wangu mtarajiwa ndio anataka kazi akaniambia nitege siku flani atume cv kweli bwana mwisho wa siku akatuma cv Mungu Mkubwa aisee pamoja na juhudi za yule mother angu akapangiwa interview atabid sasa aje town kweli kafika Dar aka akafikia kwa shangazi ake kino siku ya interview akaenda pale akapass safii tuuuh yani daaah nirifurahi kupita maelezo na yeye pia baada ya miez mitatu akapanga sinza apo kilanikikutana naye kwenye maswala ya mapenzi ni ugomvi mkubwa sana uwezi amin miez 5 yote kidume nakula calendar tuuh tuuh iyo siku nilienda kwake nusu tupigana eti yupo kwenye siku zake za hatari na nilimwambia kua nitakuja kulala uko leo vurugana sana yani nilikula mateke ayoo akaniambia eti nifuate condom saa 6 usiku daah nitaenda duka gani nikaenda geto kwangu mwenge chukua ndom na kurud usiku ule ule
yielewiiii.. na masaa 72 yameisha... ndio hivyo mkuu ushakanyagaNilifanikiwa kula mzigo without those hot kiss cos alikua anakwepa nikala mzigo kibishi tuuuh mzeee mpaka mornie mwenzangu akuwa anaonyeshe kuridhika sijui sababu nilimforce sawa nikachukulia kawaida sasa zile kurupushani za usiku zile mpaka vitu vingi kuanguka chin yani vilikua shangala bagala akaenda kuoga na mim nianze kutafuta boxer yangu sijui imeanguka upande gani ndio kukutana na hizo kama nane hv zipo chin mhhh kwa sikushtuka ila nikahis kitu nikasema ngoja nichukue kimoja nikaweka kwenye mfuko leo hiyoo nikaenda muuliza mwanangu yeye kashaumwaga krb magonjwa mengi sana nikamuulize ebwana unavijua hiv babu akaniambie eti vitakua vyo kuongeza damu hiv nishatumiaga sema vidogo vyake hiv vikubwa sana kuna mwana mwingine akandandia arv hivyooo wewe nishaviona sehemu Moyo ukafanya paah aisee niliishiwa nguvu bdae akaniambia ila sina uhakika ndio mimi kuna hapa jf ila yule mwanamke ajui chochote
.unaweza kumkimbia Leo, kesho ukaupata kwa mwingine. Hongera uamuzi wa kiume huo
Sijampa hongera mtoa mada..ni mwingine huyo nilompa hongeraKweli umempa Hongera?
Hongera kwa kuweka wazi mkuuNdo vyenyewe ila mimi nimezoea vya kahawia au wakati mwingine napewa vyeupeView attachment 489859