Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Hahhahahahahahhh
 
Dokta maduka ya madawa huwez pata? Na je hosp watakuelewa?
Hospitl watakuelewa tu Mzee, cha kufanya mtafute mtu anayefanya kazi Hosptl au ndugu yake, Mishe ya kuzipata very Simple. Ni Dili tu, anakupa...hahahahahahah....Shikamooo MaGu.
 
Mkuu nina swali japo liko nje ya mada, huo mkono uliobeba hicho kidonge ni wawako?
 
Duh pole sana mkuu GISAMBO kwa kufichwa ukweli na yule demu....I hope ulikuwa unatumia zana maana hali yenyewe kama hivi ni hatari sana. Je, umeshaanza kuwashwawashwa mwilini au kuota mapele ya hajabu?
 
Vidonge vitamu hivyo, unaweza nipatia nipige funda mbili? alafu msijifanye kutoa pole huo ni unyanyapaa mbona hata malaria inawasomba tu!
 
Ila $ëx ni tamu daaah please Jesus just come n pick the saints to the heaven
 
jamani kuduu na mtu mwenye huo ugonjwa siyo lazima uupate,wapo watu wameishi na watu wenye huo ugonjwa na wako salama salimini tena mke ma mme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…