WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,017
Kwa hiyo mtu akiwa anakunywa ARV hawezi kuambukiza au?Ni kweli mkuu kwasababu dada anakunywa ARV na kushika miko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mtu akiwa anakunywa ARV hawezi kuambukiza au?Ni kweli mkuu kwasababu dada anakunywa ARV na kushika miko.
Duuu nani kasema sawa hyooDah uzi jana ulikua unatembea balaa, watu walikesha wakisoma page baada ya page. Wengine wanajifariji anapiga kavu akichomoa tu anadumbukiza dushe kwenye spirit. Mungu tusaidie.
Hahhahahahahahhhdr nawezaje kupata hizo pep? jana nilienda lunch na dada mmoja wa ofisini tulipiga stori kadhaa, wakati wa kuondoka tulikaa kwa muda kadhaa parking na hatimae tukapiga kimoja cha fasta hadi sasa nina mawazo mengi ilikuaje akaniachia kirahisi kiasi kile au labda anataka kuniua? msaada jinsi ya kupata hizo pep
Mie natumia gas, mafuta ya taa na moto poa, hahahahahahahahahahhaahaha
Hospitl watakuelewa tu Mzee, cha kufanya mtafute mtu anayefanya kazi Hosptl au ndugu yake, Mishe ya kuzipata very Simple. Ni Dili tu, anakupa...hahahahahahah....Shikamooo MaGu.Dokta maduka ya madawa huwez pata? Na je hosp watakuelewa?
Anaweza kuambukiza lakini ni kwa chance ndogo Sana, endapo atafanya huku akiwa amejiandaa vyakutosha.Kwa hiyo mtu akiwa anakunywa ARV hawezi kuambukiza au?
Izo n ARV... PEP N LAZIMA, ICHO KIPIMO N DETERMINE TEST AMBACHO KINAONYESHA ANTIBODIES AFTER 6 WEEKS AT LEAST ...Naomba jibu kama ndio hiv au ni vya nin View attachment 489846View attachment 489847
mzee hii ni ID yako kwa kanda ya ziwa hasa wasukuma, wakerewe na wajita lina maana ya sehemu za siri za mwanamke zinapoota nywele za sirini.Ina nini mkuu mbona ni jina tu
Kwetu Mbeya ni jina la kawaida tu mkuumzee hii ni ID yako kwa kanda ya ziwa hasa wasukuma, wakerewe na wajita lina maana ya sehemu za siri za mwanamke zinapoota nywele za sirini.
Kwani kujua jambo ni lazima uwe una tumia? wapo marafiki na ndugu wanaotumia. Na usidhani wanaotumia ni wajinga sana na usidhani wewe ambaye hutumii kwa sasa ni mjanja. It is a matter of time utakuja kushuhudia hapa.Hivo ndivo unatumia kwa sasa?
ItakuaUumekuta.mkeo kavificha ndani
Itakua ni vile vya madabidakwa ukubwa huo na ilo umbo vinafanana kabisa na arv ila mi sijawahi ona vya njano, nimeona vyeupe na rangi flan kama tofali la kuchoma.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Usikute umeleta demu afu umepiga kavu, kaenda kuoga umesearch kwa bag yake ukakutana navyo
Hapo ndipo utakapojua maana ya neno love