Bado kazimiaMi nasubiria kujua nn kimejiri Hata sijui Kama ni Arv au ni nini
Wabeja sana.[emoji4] [emoji4]Nitakuja kutoa maoni yangu,usijali
He has nothing to worry. Kama 72hrs hayajaisha toka amegegeda anatakiwa tu kupewa Post exposure prophylaxis (PEP) na atakuwa salama kabisa.Huu uzi una mengi ya kujifunza.
Itakuwa alikuwa na matumaini kidogo,dah sasa atakuwa hoi huko aliko,ila vijana sijui why hawatumii condom.lakini ameomba msaada.
Dokta mpe darasa kwanzaNi zenyewe
Mkuu hii kitu nimeisikia sana naomba shule kidogo.je inapatika hospitali pekee au na kwenye maduka ya madawaHe has nothing to worry. Kama 72hrs hayajaisha toka amegegeda anatakiwa tu kupewa Post exposure prophylaxis (PEP) na atakuwa salama kabisa.
Mleta mada nadhani alikuwa anatamani visiwe vyenyeweNi ARV mzee..ndo vyenyewe hivyo asee..mi nafanya kazi hosptl...na hivyo nacheza navyo kila siku...
Ni vyenyewe mzee
He has nothing to worry. Kama 72hrs hayajaisha toka amegegeda anatakiwa tu kupewa Post exposure prophylaxis (PEP) na atakuwa salama kabisa.
Wabeja ukolumba.Wabeja sana.[emoji4] [emoji4]
Dawa za ARV zinapatikana hospitali tu.Mkuu hii kitu nimeisikia sana naomba shule kidogo.je inapatika hospitali pekee au na kwenye maduka ya madawa
Mleta mada nadhani alikuwa anatamani visiwe vyenyewe
Ndiyo. Endelea mkuuNi hiv huyu dada anakaa arusha nilikutanaga naye kwenye semina moja hiv tuka badilishana contact ki ukweli nilitokea kumpenda sana huyu cos ni mzuri sana yani mzurii natamani ata niweke picha zake but nimeona sio poa kisuuu yani white ana kashepu flan hv hatari huo mdomo sasa yani ni mzuri kiukweli sasa baada ya mimi kumtongoza ilimchukua mda sana kunielewa kidogo nikate tamaa but mwisho wasiku alinikubalia mapenzi ya kaanza kwa phone yupo Arusha nipo Dsm yeye alisomea marketing na alikua anatafuta kazi nikajitoa muhanga mzee kusaka ajira kwa ajiri ya mrembo ....
Vipi kuhusu PEP ndipo nilipolenga.upatikanaji wake na inafanya vipi kazi nauliza maana nasikia tu sijui undani wakeDawa za ARV zinapatikana hospitali tu.