Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

470fdcca87ebf653d55b233c1a704b51.jpg
2d4de6c383d05d6ccb9b6e0204513d41.jpg
c8b38d4ec000835aa826d963ffe42554.jpg
 
Alete full story apewe msaada naona wajuzi wametia timu
 
Ni hiv huyu dada anakaa arusha nilikutanaga naye kwenye semina moja hiv tuka badilishana contact ki ukweli nilitokea kumpenda sana huyu cos ni mzuri sana yani mzurii natamani ata niweke picha zake but nimeona sio poa kisuuu yani white ana kashepu flan hv hatari huo mdomo sasa yani ni mzuri kiukweli sasa baada ya mimi kumtongoza ilimchukua mda sana kunielewa kidogo nikate tamaa but mwisho wasiku alinikubalia mapenzi ya kaanza kwa phone yupo Arusha nipo Dsm yeye alisomea marketing na alikua anatafuta kazi nikajitoa muhanga mzee kusaka ajira kwa ajiri ya mrembo ....
 
He has nothing to worry. Kama 72hrs hayajaisha toka amegegeda anatakiwa tu kupewa Post exposure prophylaxis (PEP) na atakuwa salama kabisa.
Mkuu hii kitu nimeisikia sana naomba shule kidogo.je inapatika hospitali pekee au na kwenye maduka ya madawa
 
Ni hiv huyu dada anakaa arusha nilikutanaga naye kwenye semina moja hiv tuka badilishana contact ki ukweli nilitokea kumpenda sana huyu cos ni mzuri sana yani mzurii natamani ata niweke picha zake but nimeona sio poa kisuuu yani white ana kashepu flan hv hatari huo mdomo sasa yani ni mzuri kiukweli sasa baada ya mimi kumtongoza ilimchukua mda sana kunielewa kidogo nikate tamaa but mwisho wasiku alinikubalia mapenzi ya kaanza kwa phone yupo Arusha nipo Dsm yeye alisomea marketing na alikua anatafuta kazi nikajitoa muhanga mzee kusaka ajira kwa ajiri ya mrembo ....
Ndiyo. Endelea mkuu
 
Back
Top Bottom