Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

una Bahati sana. Umeokoka?
 
pole sana braza...daah
 
pumbavu sana hizi story za kupika hazina maana wewe tuambie kama bashite katoa vyeti au la
 
Kupima ndo usalama zaidi. Hizo condom ni mbwembwe tu. Zikipasuka je. Upate pressure Kama ya mtoa mada. Anashindwa hata kutupa full story. Analeta nusu nusu. Hiyo kitu ni hatari asee
Yeah,kupima ni salama zaidi.. iLa tatizo huyo ambaye mtapima na kuwa wote,hawezi kwenda kuudokoa huko nje,yani hatar bado ipo tu
 
Kuna dada alikuwa HIV+, alikutana na boyfriend walidate kwa mwaka mzima tena walikuwa wanakwenda kavu, yule dada alikuwa na undetectable status. Sasa jamaa amefika bei siku moja amerudi kazini na engagement ring, dada kabla hajakubali ilibidi awe mkweli kuhusu hali yake. Kama kawaida jamaa alichanganyikiwa, siku ile alikwenda baa alikunywa mpaka baa inafungwa, akatafuta guest akaenda kulala, kesho yake akajiwahi kwenye kitengo huku amefunga kabisa vioo kwa mdada.

Alipata majibu kuwa hajaathirika, baada ya kupata ushauri nasaha alimwendea dada na kumwambia bado anampenda. Walifunga ndoa na kupata watoto, tena alikuwa anambusha kabisa kunywa dawa.
 
Duh!! Ujasiri huo mimi sina
 
Yaan wewe hiyo picha yako ndio imeharibu kabisa..
 
Duu pole mkuu. uzuri ulitumia zana, hope utakuwa salama kwa 99.99%
 
nna tukio kama lako mkuu, ila mimi sikwenda guest nilishtuliwa mapema sana. ikabaki kuzuga mpaka leo

tabu ni moja nawafahamu watu wanao piga huyo manzi mbaya zaidi wana mkwanja na wanakuja piga pia hawa wengine ambao na sie kina pangu pakavu tunavizia.mambo ya ngoma naogopa sana
 
pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…