Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Ndo vyenyewe ila mimi nimezoea vya kahawia au wakati mwingine napewa vyeupeView attachment 489859
Bro/Sister...kama hutojali ungebadilisha username yako,kama nimeelewa ulichokipost hapa na kweli umemaanisha usijiite Mtengwa jiite angalao Mpendwa Id unayotumia inaakisi ni kama kuna watu wanakutenga na ukijiita hivi kweli utatengwa.pole sana.
 
Mkuu umelala naye lini?
 
Weee hizo stori umezidisha chumvi sasa
 
Huyo jamaa atakuwa ni msukuma.
 
Acha woga nenda kacheki afya bado mapema hizo ni TLE kama profile yangu ilivyo yaani Tenofovir 300mg,Lamivudine 300mg na Efavirenz 600mg bila shaka umenisoma,kama anatumia nenda kacheki kwanza afya yako kabla ya kufanya maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…