Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Nimegundua mleta mada ni mfanyakazi wa Shigongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nasubiria ushilawadu unatoka nusunusuMkuu kumbe na unasubiri SHILAWADU.
Imejibiwa hapo juu. Angalia utaona majibuAnauliza kuhusu hyo PEP?hata mm ningependa kupata shule kidogo
Kumbe hizo pep ndo arv,inawezekana ukanywa hivyo vidonge then ukasex na mtu ambaye humuamini,its safe??PEP ndo ARV's yenyewe, inatolewa kwa waathirika tu au watu waliobakwa na wenye vvu, kuchomwa sindano yenye vvu nk, ikipita masaa 72 tangu upate maambukizi inakuwa ni helpless.
Mtaalam sanaNimegundua mlets mada ni mfanyakazi wa Shigongo.
Huko sasa ni kujilipua yaani unaingia kwenye mdomo wa simba kisa una combat.Kumbe hizo pep ndo arv,inawezekana ukanywa hivyo vidonge then ukasex na mtu ambaye humuamini,its safe??
Nimejikuta nacheka. Japo sifahamu mtoa mada kilichomkuta.poleUnaweza kusahau jinsia yako ghafla mkuu.
Hii lugha gani?
Yani mfano umekutana na mtu then hamjuani kiundani,yani hujui kama ameungua au la,si bora kutumia vidonge hivyoHuko sasa ni kujilipua yaani unaingia kwenye mdomo wa simba kisa una combat.
Vinatumika baada ya maambukizi, kwa mfano ikigundulika ulisex na demu mwenye ngoma au kupasukiwa na condom halafu ukawahi hospital wanakuanzishia dozi ya mwezi mzima.Kumbe hizo pep ndo arv,inawezekana ukanywa hivyo vidonge then ukasex na mtu ambaye humuamini,its safe??
Kisukuma.Hii lugha gani?
Ni bora kutumia condom mpaka wote mtakapo pima.Yani mfano umekutana na mtu then hamjuani kiundani,yani hujui kama ameungua au la,si bora kutumia vidonge hivyo
Unacheka mwenzako now analia[emoji20]Nimejikuta nacheka. Japo sifahamu mtoa mada kilichomkuta.pole
Atakuwa kishagonga,maana kapanic kiaina.Mkuu kumbe na unasubiri SHILAWADU.
Ndungu yangu mmoja upande wa mama angu yupo pale voda Mama angu ndio aliniambia nikamuone kwa kisingizia me ndio nataka kaz bwana nikaenda nikachonga nae nika mueleza ukweli kwamba sio mim ni mke wangu mtarajiwa ndio anataka kazi akaniambia nitege siku flani atume cv kweli bwana mwisho wa siku akatuma cv Mungu Mkubwa aisee pamoja na juhudi za yule mother angu akapangiwa interview atabid sasa aje town kweli kafika Dar aka akafikia kwa shangazi ake kino siku ya interview akaenda pale akapass safii tuuuh yani daaah nirifurahi kupita maelezo na yeye pia baada ya miez mitatu akapanga sinza apo kilanikikutana naye kwenye maswala ya mapenzi ni ugomvi mkubwa sana uwezi amin miez 5 yote kidume nakula calendar tuuh tuuh iyo siku nilienda kwake nusu tupigana eti yupo kwenye siku zake za hatari na nilimwambia kua nitakuja kulala uko leo vurugana sana yani nilikula mateke ayoo akaniambia eti nifuate condom saa 6 usiku daah nitaenda duka gani nikaenda geto kwangu mwenge chukua ndom na kurud usiku ule ule
Kila hospital zipo hizo dawa?na ni bure??Vinatumika baada ya maambukizi, kwa mfano ikigundulika ulisex na demu mwenye ngoma au kupasukiwa na condom halafu ukawahi hospital wanakuanzishia dozi ya mwezi mzima.
Hii shughuli ni nzito mkuu, lakini sasa kama alishakula wiki nzima nyinyi mnamshauri PEP sasa hivi.Atakuwa kishagonga,maana kapanic kiaina.