Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Nilifanikiwa kula mzigo without those hot kiss cos alikua anakwepa nikala mzigo kibishi tuuuh mzeee mpaka mornie mwenzangu akuwa anaonyeshe kuridhika sijui sababu nilimforce sawa nikachukulia kawaida sasa zile kurupushani za usiku zile mpaka vitu vingi kuanguka chin yani vilikua shangala bagala akaenda kuoga na mim nianze kutafuta boxer yangu sijui imeanguka upande gani ndio kukutana na hizo kama nane hv zipo chin mhhh kwa sikushtuka ila nikahis kitu nikasema ngoja nichukue kimoja nikaweka kwenye mfuko leo hiyoo nikaenda muuliza mwanangu yeye kashaumwaga krb magonjwa mengi sana nikamuulize ebwana unavijua hiv babu akaniambie eti vitakua vyo kuongeza damu hiv nishatumiaga sema vidogo vyake hiv vikubwa sana kuna mwana mwingine akandandia arv hivyooo wewe nishaviona sehemu Moyo ukafanya paah aisee niliishiwa nguvu bdae akaniambia ila sina uhakika ndio mimi kuna hapa jf ila yule mwanamke ajui chochote
Mkuu hapo hujaeleza kama ulitumia kondom au vp
 
hata mm aisee!!
ila kiukwel hatulali leo kama vi episode hiv vitaendelea!!
nasoma uzi na wife hapa, ameanza kuniganda tukapime!!

kwa mm labda nikapime Uzito tu ndo ntaweza, mengine hayo atapima yy akibeba mimba....

Kanuaaaa, tayari mzungu wa nne umehusika hapa
Mtapima wote tu
 
Am telling you Daby...kwann kabla ya yote mcpime basiiiiii... Hayo ndo matokeo ya pekupeku kupekua
Duuh nisiongee chochote tu ila mungu aepushe haya...

Maana sio kila utakae fanya naye mtaenda kupima.
 
Akirusha humu. Tunaweza pata misiba mingi. Kwa pressure.pengine hata ww ulipita bila kujua. So kuwa mpole tu. Ohoooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa si bora tujijue mapema ili tusiwagawie na wengine,na pia usikute kuna mtu humu anamfkuzia,mwisho wa siku yanampata
 
Back
Top Bottom