mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,190
- 830
kaeni miaka buku mpaka muanikwe juani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauhakika sio mchepukajiii???Nipo hapa...
Mkuu hapo hujaeleza kama ulitumia kondom au vpNilifanikiwa kula mzigo without those hot kiss cos alikua anakwepa nikala mzigo kibishi tuuuh mzeee mpaka mornie mwenzangu akuwa anaonyeshe kuridhika sijui sababu nilimforce sawa nikachukulia kawaida sasa zile kurupushani za usiku zile mpaka vitu vingi kuanguka chin yani vilikua shangala bagala akaenda kuoga na mim nianze kutafuta boxer yangu sijui imeanguka upande gani ndio kukutana na hizo kama nane hv zipo chin mhhh kwa sikushtuka ila nikahis kitu nikasema ngoja nichukue kimoja nikaweka kwenye mfuko leo hiyoo nikaenda muuliza mwanangu yeye kashaumwaga krb magonjwa mengi sana nikamuulize ebwana unavijua hiv babu akaniambie eti vitakua vyo kuongeza damu hiv nishatumiaga sema vidogo vyake hiv vikubwa sana kuna mwana mwingine akandandia arv hivyooo wewe nishaviona sehemu Moyo ukafanya paah aisee niliishiwa nguvu bdae akaniambia ila sina uhakika ndio mimi kuna hapa jf ila yule mwanamke ajui chochote
Kisa cha kutoka sinza kufuata kondom Mwenge hafu asitumie?Mkuu hapo hujaeleza kama ulitumia kondom au vp
Akirusha humu. Tunaweza pata misiba mingi. Kwa pressure.pengine hata ww ulipita bila kujua. So kuwa mpole tu. OhooooUnajua tatizo jamaa amemsifia kupita maelezo,kwamba she is very hot,ndo mana nikamwambia hata picha ya miguu tu,
Mtapima wote tuhata mm aisee!!
ila kiukwel hatulali leo kama vi episode hiv vitaendelea!!
nasoma uzi na wife hapa, ameanza kuniganda tukapime!!
kwa mm labda nikapime Uzito tu ndo ntaweza, mengine hayo atapima yy akibeba mimba....
Kanuaaaa, tayari mzungu wa nne umehusika hapa
Umewaza mbali mkuu.Akirusha humu. Tunaweza pata misiba mingi. Kwa pressure.pengine hata ww ulipita bila kujua. So kuwa mpole tu. Ohoooo
Am telling you Daby...kwann kabla ya yote mcpime basiiiiii... Hayo ndo matokeo ya pekupeku kupekua
ndo umeharibu tena kabsaaaa!!!Nasikiaga kuwa usiku kama huu VVU huwa vinasinzia, unaweza kupewa majibu ambayo sio ya kweli.
kweli dada mstaarabu sana. amtunzie utu wakeAsifanye hivyo. Amlindie heshima yake. Alilazimisha game mwenyewe bila kwenda kupima.asije akamuua dada wa watu kabla ya siku zake kutimia.
As if tunawatongoza.Mh,wanawake always ndo huWa chanzo cha yote....
Duuh nisiongee chochote tu ila mungu aepushe haya...Am telling you Daby...kwann kabla ya yote mcpime basiiiiii... Hayo ndo matokeo ya pekupeku kupekua
Daah! hii stori yako,imefanya nibadili playlist yangu kuwa nyimbo za dini kwa muda huu,aisee itabid nijipange kupima,poleee sana.Jamani ukimwi Upo aupimwi kwa macho ata kidogo aiseee msimuamin mtu ata awe mzuri vip cos nikiwadondoshea picha hapa akuna atakaye Amini japo siwezi kuweka picha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa si bora tujijue mapema ili tusiwagawie na wengine,na pia usikute kuna mtu humu anamfkuzia,mwisho wa siku yanampataAkirusha humu. Tunaweza pata misiba mingi. Kwa pressure.pengine hata ww ulipita bila kujua. So kuwa mpole tu. Ohoooo
Njoo kwangu sichepuki, ila unapaswa kuwa mwaminifu wewe kwanza,na ujue nafasi na thamani ya mwanamke katka familia,usijaribu kumpanda kichwani mmeoNipe mbinu walahi. Ili kuepusha hizi pressure
He.kumbe kivip sasa.Mh,wanawake always ndo huWa chanzo cha yote....