Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Kuna dada alikuwa HIV+, alikutana na boyfriend walidate kwa mwaka mzima tena walikuwa wanakwenda kavu, yule dada alikuwa na undetectable status. Sasa jamaa amefika bei siku moja amerudi kazini na engagement ring, dada kabla hajakubali ilibidi awe mkweli kuhusu hali yake. Kama kawaida jamaa alichanganyikiwa, siku ile alikwenda baa alikunywa mpaka baa inafungwa, akatafuta guest akaenda kulala, kesho yake akajiwahi kwenye kitengo huku amefunga kabisa vioo kwa mdada.

Alipata majibu kuwa hajaathirika, baada ya kupata ushauri nasaha alimwendea dada na kumwambia bado anampenda. Walifunga ndoa na kupata watoto, tena alikuwa anambusha kabisa kunywa dawa.
Huyo shujaa kweli! Sumu haijaribiwi kwa ulimi
 
Hivi vitu bwana. Nina mchumba wangu hatujawahi kupima. Siku moja nikamuambia tukikaribia kufunga ndoa tutapimwa ngoma tukiwa na ndugu anasema hataki hata kusikia. Nikamuuliza, nikikutwa na UKIMWI je na wewe huna? Akajibu ndoa itamshinda ila hataki kupima ye anachotaka ndoa tuendelee na mambo yetu.
 
Kuna dada alikuwa HIV+, alikutana na boyfriend walidate kwa mwaka mzima tena walikuwa wanakwenda kavu, yule dada alikuwa na undetectable status. Sasa jamaa amefika bei siku moja amerudi kazini na engagement ring, dada kabla hajakubali ilibidi awe mkweli kuhusu hali yake. Kama kawaida jamaa alichanganyikiwa, siku ile alikwenda baa alikunywa mpaka baa inafungwa, akatafuta guest akaenda kulala, kesho yake akajiwahi kwenye kitengo huku amefunga kabisa vioo kwa mdada.

Alipata majibu kuwa hajaathirika, baada ya kupata ushauri nasaha alimwendea dada na kumwambia bado anampenda. Walifunga ndoa na kupata watoto, tena alikuwa anambusha kabisa kunywa dawa.
Dahhh pagumu ila huu ndio uanaume wa kweli....
 
Ukiona mtu anakukatalia game sanaaa wakati unadeserve jiulize mara2
[emoji124]
Very true. Kuna binti niliwahi mchombeza kitambo, akawa ananizungusha tu. Ila kila nikiamua kumpotezea anarudi na kunitafuta kwa fujo. Tulishapanga mitoko kama mitatu, na yote mwishoni tuliishia lodge kulala. Tatizo sasa, alikuwa hataki kabisa kutoa gem, na hata kuvua kufuli kwenye mwanga alikuwa hataki. Yaani hata kupeleka mkono kwenye ikulu alikuwa haruhusu kabisa. Kuna siku kilevi kilimzidia, akajisahau akaniachia. Nilichokikuta nilistaajabu kwakweli. Alikuwa na warts kibao huku chini, yaani mpaka sura na umbo la papuchi halifahamiki. Nilishukuru kwakweli, maana kama ningemfosi kipindi cha nyuma ingekuwa balaa kwangu. Baadae nilimtafuta na kumshauri matibabu, na pia alipima HIV ila akawa salama. Kabaki rafiki yangu tu, siri yake iko salama na mimi
 
wanadanganya tuuu dawa ipo poa
Wamarekani huwachoma sindano fulani ya kinga wanajeshi na peace corps wanaoenda maeneo ambayo AIDS ni pandemic na huwakinga pia na magonjwa mbali mbali ikiwamo malaria

Aids is a neocolonialism biologocal weapon...
 
Very true. Kuna binti niliwahi mchombeza kitambo, akawa ananizungusha tu. Ila kila nikiamua kumpotezea anarudi na kunitafuta kwa fujo. Tulishapanga mitoko kama mitatu, na yote mwishoni tuliishia lodge kulala. Tatizo sasa, alikuwa hataki kabisa kutoa gem, na hata kuvua kufuli kwenye mwanga alikuwa hataki. Yaani hata kupeleka mkono kwenye ikulu alikuwa haruhusu kabisa. Kuna siku kilevi kilimzidia, akajisahau akaniachia. Nilichokikuta nilistaajabu kwakweli. Alikuwa na warts kibao huku chini, yaani mpaka sura na umbo la papuchi halifahamiki. Nilishukuru kwakweli, maana kama ningemfosi kipindi cha nyuma ingekuwa balaa kwangu. Baadae nilimtafuta na kumshauri matibabu, na pia alipima HIV ila akawa salama. Kabaki rafiki yangu tu, siri yake iko salama na mimi
Akisoma hapa atajijuaa
 
Nime lazimisha kupima kaniambia aina ila kunitoa wasi wasi kanipima na hii kitu na nyingine kanipa yani majibu hapo hapoView attachment 489902
Halaf siku hizi tunatumia SD Bioline sio hizo determine......
Hata ivyo hongera kwa kupata majibu safi.

Ila pia unaweza muoa tuu huyo dem wako kama unampenda kweli... Na mkaishi maisha safi bika wewe kuambukizwa
 
Lakini jama tuwe wakweli kuna timu.mafisi..wengi tunakutana mjini miaka zaidi ya 20 na life style...ndio hiyo lakini hawafi
Ila kuna wengine utafikiri mapadre wakijaribu mara moja..tu mwaka...wamekufa ..life sometimes is so unfair ..na...ugonjwa huuu hautabiriki ..usimuhukumu kuwa ndio madhambi zaidi yako kwakuwa anatimia ..dawa
Yaani is undefined syndrome.
Ingekuaa ukichovya tu muathirika unapata....basi wanaume wote mjini wangeshakufa..wengi wanatembea na waathirika hawapati inabaki...siri.yao...wanaenda tu misibani
 
Unapokunywa dawa na wadudu wanaisha kwenye mzunguko wa damu ila wanabaki wamejificha kwenye chembe (cells) zenye kinga ya mwili ambako ARV haiwezi kufika. Ukiacha kutumia dawa wanarudi tena kwenye mzunguko wa damu na kuanza mashambulizi upya.
Kwa hiyo ukifanya ngono nzembe yaani bila kinga say na mwanaume mwenye HIV hata ukipata michubuko manii haina virusi? Elimu Dr hapa.
 
Kuna dada alikuwa HIV+, alikutana na boyfriend walidate kwa mwaka mzima tena walikuwa wanakwenda kavu, yule dada alikuwa na undetectable status. Sasa jamaa amefika bei siku moja amerudi kazini na engagement ring, dada kabla hajakubali ilibidi awe mkweli kuhusu hali yake. Kama kawaida jamaa alichanganyikiwa, siku ile alikwenda baa alikunywa mpaka baa inafungwa, akatafuta guest akaenda kulala, kesho yake akajiwahi kwenye kitengo huku amefunga kabisa vioo kwa mdada.

Alipata majibu kuwa hajaathirika, baada ya kupata ushauri nasaha alimwendea dada na kumwambia bado anampenda. Walifunga ndoa na kupata watoto, tena alikuwa anambusha kabisa kunywa dawa.
Nimekutana na mtu kama huyo kanipa ushahidi wa story kama hiyo...anaishi na mkewe kaathirika ila yy yupo poa na wanawatoto
 
Back
Top Bottom