- Thread starter
- #21
mtoto wangu ana 5yrs ameanza darasa la kwanza mwaka huu na sijamtahiri
nia afike japo miaka 8~9.je ubaya ni nini?
na shule kwao wakifunga mwisho week nne,je anaweza kupona kwa muda huo
Madhara sijui ila njia ya kutahiri kama inilivyouliza hapo juu mtoto wangu alipona ndani ya week tatu tu! ndo maana naiulizia kwa hapa Mwanza.