Msaada: Hosptali nzuri kutahiri mtoto mwanza

Msaada: Hosptali nzuri kutahiri mtoto mwanza

mtoto wangu ana 5yrs ameanza darasa la kwanza mwaka huu na sijamtahiri
nia afike japo miaka 8~9.je ubaya ni nini?
na shule kwao wakifunga mwisho week nne,je anaweza kupona kwa muda huo

Madhara sijui ila njia ya kutahiri kama inilivyouliza hapo juu mtoto wangu alipona ndani ya week tatu tu! ndo maana naiulizia kwa hapa Mwanza.
 
Subiri wakati wa likizo ndefu ya mwezi mzima, ndo umtahiri, mwezi mzima takuwa kishapona, though watoto wakubwa wakubwa wanachelewa kupona coz wengi wao ni watundu kujitonesha mtindo mmoja

mtoto wangu ana 5yrs ameanza darasa la kwanza mwaka huu na sijamtahiri
nia afike japo miaka 8~9.je ubaya ni nini?
na shule kwao wakifunga mwisho week nne,je anaweza kupona kwa muda huo
 
Madhara yake ni nini?
hakuna madhara ila unamtesa sana mtoto anavyolia ni tofauti akiwa mdogo course anakuwa hajui kitu ktk umri huo kuna kujitonesa basi ni shida tupu, hiyo siku jiandae kutokwenda kazini msaidiane na mkeo atleast one day pls
 
Back
Top Bottom