mtoto wangu ana 5yrs ameanza darasa la kwanza mwaka huu na sijamtahiri
nia afike japo miaka 8~9.je ubaya ni nini?
na shule kwao wakifunga mwisho week nne,je anaweza kupona kwa muda huo
4 yrs mkuu!
mtoto wangu ana 5yrs ameanza darasa la kwanza mwaka huu na sijamtahiri
nia afike japo miaka 8~9.je ubaya ni nini?
na shule kwao wakifunga mwisho week nne,je anaweza kupona kwa muda huo
Nenda kwa Tumaini Dispensary maarufu kama kwa dr mhada, utakutana na dr Tuamini hapo
hakuna madhara ila unamtesa sana mtoto anavyolia ni tofauti akiwa mdogo course anakuwa hajui kitu ktk umri huo kuna kujitonesa basi ni shida tupu, hiyo siku jiandae kutokwenda kazini msaidiane na mkeo atleast one day plsMadhara yake ni nini?