Msaada huu ni ugonjwa gani

Hebu wacha ujinga, mtu anaumwa unatakiwa ushauri wewe unaleta ujinga.

Dushe lako lina masikio?

Punguani wahed.
Bibi wakati mwingine huwa hauna staha hata kidogo maneno yako.
Hiyo picha kwenye simu yangu haionekani vixuri ndio maana nikataka kujua ni eneo gani la mwili ilipopigwa sasa from no where unaniita mimi pungauni.

Ipo siku nitakusababisha ukaingea chumba cha kuzalia wazazi na huo uzee wako.

Majnuun wahed
 
Ukafanye kipimo cha culture,watagundua ni mdudu gani anakusumbua na dawa sahihi ya kumuua.
 


Kama simu yako haioneshi kwanini uliuliza ujinga? Si ungeuliza kiiungo gani tu ingetosha.

Nnajuwa kosa ni la mama'ko si wewe. Mitoto kama nyie isiyojuwa baba zao ni akina nani ndivyo mlivyo.
 
Kama simu yako haioneshi kwanini uliuliza ujinga? Si ungeuliza kiiungo gani tu ingetosha.

Nnajuwa kosa ni la mama'ko si wewe. Mitoto kama nyie isiyojuwa baba zao ni akina nani ndivyo mlivyo.
Mama yangu na wewe hamna hata tofauti kwa sababu nahisi hata watoto wako wapo hivyo ndio maana imekuwa rahisi kwako kujua tabia yangu mapema kiasi hiki.

Nitakufuata PM ili tusichafue uzi wa watu hapa maana wewe unaonekana ni mtamu sana bibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…