Heshima mkuu...
Sio wa jinsia hiyo ya kuolewa mimi.
Kunradhi! Japo utandawazi umewezesha Jinsia zote kuolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima mkuu...
Sio wa jinsia hiyo ya kuolewa mimi.
Mchepuko wa dam etWahini hospital mkapime na damu
Msigombane jamaa nimepost ili kuomba msaada wa mawazo kwa rafik yangu huyu tu jamanDushe la Mumeo lina Masikio na Nywele?
Mkuu hiyo ni Dushe au kioungo gani cha mwili?
Msigombane ndugu nimepost kuomba msaada wa maoni tuHeshima mkuu...
Sio wa jinsia hiyo ya kuolewa mimi.
Na ndio tatizo la huu mtandao mtu anaumwa lakin akiomba ushaur anajibiwa sivyoHebu wacha ujinga, mtu anumwa unatakiwa ushauri wewe unaleta ujinga.
Dushe lako lina masikio?
Punguani wahed.
Bibi wakati mwingine huwa hauna staha hata kidogo maneno yako.Hebu wacha ujinga, mtu anaumwa unatakiwa ushauri wewe unaleta ujinga.
Dushe lako lina masikio?
Punguani wahed.
Bibi wakati mwingine huwa hauna staha hata kidogo maneno yako.
Hiyo picha kwenye simu yangu haionekani vixuri ndio maana nikataka kujua ni eneo gani la mwili ilipopigwa sasa from no where unaniita mimi pungauni.
Ipo siku nitakusababisha ukaingea chumba cha kuzalia wazazi na huo uzee wako.
Majnuun wahed
Taratibu bibieHebu wacha ujinga, mtu anaumwa unatakiwa ushauri wewe unaleta ujinga.
Dushe lako lina masikio?
Punguani wahed.
Mama yangu na wewe hamna hata tofauti kwa sababu nahisi hata watoto wako wapo hivyo ndio maana imekuwa rahisi kwako kujua tabia yangu mapema kiasi hiki.Kama simu yako haioneshi kwanini uliuliza ujinga? Si ungeuliza kiiungo gani tu ingetosha.
Nnajuwa kosa ni la mama'ko si wewe. Mitoto kama nyie isiyojuwa baba zao ni akina nani ndivyo mlivyo.
Mchepuko? Au umemaanisha mchafuko wa damu[emoji3][emoji3]Mchepuko wa dam et
[emoji15] [emoji15] Hahaha sorry mchafukoMchepuko? Au umemaanisha mchafuko wa damu[emoji3][emoji3]
Mkuu hiyo ni Dushe au kioungo gani cha mwili?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...Dushe la Mumeo lina Masikio na Nywele?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...
Utani wa ngumi huu!!
Daaaaah ndio inakuwa hivo mkuu nimestukaEmb cheki hapa
Neurofibromatosis - Wikipedia
Sina uhakika na hili suala na nani tumaini rafiki/ndugu yako sio hili linalomsumbua.
Kuna hospitali moja ya masista tegeta iko vizuri kweli kune hayo magonjwa....naamini atapona....Za masista ? Sijaelewa mkuu
Huoni sikio?Mkuu hiyo ni Dushe au kioungo gani cha mwili?
Mkuu niliangalia vibaya maana kila nikigeuza simu nilikuwa sielewi ndio maana nikahoji ila baada ya kupewa majibu ya kuumiza moyo nimeweza kuielewa hiyo picha.Huoni sikio?