Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,224
- 995
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji87]Mkuu hiyo ni Dushe au kioungo gani cha mwili?
Ahsante [emoji120] [emoji120]Kuna hospitali moja ya masista tegeta iko vizuri kweli kune hayo magonjwa....naamini atapona....
Mbuz katoliki ?Dah mkuu umeonja mbuzi katoliki??
Mbavu zanguDushe la Mumeo lina Masikio na Nywele?
Yaitwaje? Inatumia bima?Kuna hospitali moja ya masista tegeta iko vizuri kweli kune hayo magonjwa....naamini atapona....
Tegeta mission au ulizia hospital ya masista wa canossa.Yaitwaje? Inatumia bima?
Ndo maana nkasema natumaini sio huo ugonjwa hapo. Cha msingi apime vipimo vyote, wasiishie tu kupima vile "vya mazoea/kila siku" ili wapate kujua undani wa hilo tatizo. FNB/NFB ni shida ingine ariff.Daaaaah ndio inakuwa hivo mkuu nimestuka
hii inaitwa atopic dermatitis. inatibikaHabari kuna rafiki yangu anaumwa ugonjwa huu leo imepita mwezi . Tumienda nae hospital wakampima wakasema ana minyoo ya aina mbili :-
[emoji117] MINYOO YA AMIBA
[emoji117] MINYOO YA KICHOCHO
Tume tumia dawa za minyoo hiyo lakini wapi haijasaidia kitu. Tukarudi tena wakampa dawa ya allergy nayo haijasaidia kitu. Kwahiyo kwa yeyote anaeweza jua huu ugonjwa na dawa yake atuambie tafadhali, pengine labda na wewe umewahi kuugua ugonjwa huu tunaomba msaada wako ahsante
Mpeleke Muhimbili watakata kinyama wataotesha then mtapata majibu mujarabu hatuombei mabaya lakini yaweza kuwa kansa ya ngozi usiofope akapimwe hosp kubwaHabari kuna rafiki yangu anaumwa ugonjwa huu leo imepita mwezi . Tumienda nae hospital wakampima wakasema ana minyoo ya aina mbili :-
[emoji117] MINYOO YA AMIBA
[emoji117] MINYOO YA KICHOCHO
Tume tumia dawa za minyoo hiyo lakini wapi haijasaidia kitu. Tukarudi tena wakampa dawa ya allergy nayo haijasaidia kitu. Kwahiyo kwa yeyote anaeweza jua huu ugonjwa na dawa yake atuambie tafadhali, pengine labda na wewe umewahi kuugua ugonjwa huu tunaomba msaada wako ahsante
Thanks sisTegeta mission au ulizia hospital ya masista wa canossa.
Bima hawatumii,sijui kama wameanza now.
Ni tegeta kwa ndevu ukishuka tu hapo ukiulizia hupotei...kila mtu anaijua na sio mbali from kituoni.
Ahsante sanaTegeta mission au ulizia hospital ya masista wa canossa.
Bima hawatumii,sijui kama wameanza now.
Ni tegeta kwa ndevu ukishuka tu hapo ukiulizia hupotei...kila mtu anaijua na sio mbali from kituoni.
Daaaaah ahsante rafikiNdo maana nkasema natumaini sio huo ugonjwa hapo. Cha msingi apime vipimo vyote, wasiishie tu kupima vile "vya mazoea/kila siku" ili wapate kujua undani wa hilo tatizo. FNB/NFB ni shida ingine ariff.
Alhandulilah dawa yake ni ip ndguhii inaitwa atopic dermatitis. inatibika
Ahsante [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mpeleke Muhimbili watakata kinyama wataotesha then mtapata majibu mujarabu hatuombei mabaya lakini yaweza kuwa kansa ya ngozi usiofope akapimwe hosp kubwa
Culture [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ukafanye kipimo cha culture,watagundua ni mdudu gani anakusumbua na dawa sahihi ya kumuua.