Msaada huu ni ugonjwa gani

Msaada huu ni ugonjwa gani

Daaaaah ndio inakuwa hivo mkuu nimestuka
Ndo maana nkasema natumaini sio huo ugonjwa hapo. Cha msingi apime vipimo vyote, wasiishie tu kupima vile "vya mazoea/kila siku" ili wapate kujua undani wa hilo tatizo. FNB/NFB ni shida ingine ariff.
 
Habari kuna rafiki yangu anaumwa ugonjwa huu leo imepita mwezi . Tumienda nae hospital wakampima wakasema ana minyoo ya aina mbili :-
[emoji117] MINYOO YA AMIBA
[emoji117] MINYOO YA KICHOCHO
Tume tumia dawa za minyoo hiyo lakini wapi haijasaidia kitu. Tukarudi tena wakampa dawa ya allergy nayo haijasaidia kitu. Kwahiyo kwa yeyote anaeweza jua huu ugonjwa na dawa yake atuambie tafadhali, pengine labda na wewe umewahi kuugua ugonjwa huu tunaomba msaada wako ahsante
b7a162faf5f29ed0b93d2d52b640ddca.jpg
hii inaitwa atopic dermatitis. inatibika
 
Mpeleke Muhimbili watakata kinyama wataotesha then mtapata majibu mujarabu hatuombei mabaya lakini yaweza kuwa kansa ya ngozi usiofope akapimwe hosp kubwa
 
Back
Top Bottom