Msaada huu ni ugonjwa gani

Msaada huu ni ugonjwa gani

Habari kuna rafiki yangu anaumwa ugonjwa huu leo imepita mwezi . Tumienda nae hospital wakampima wakasema ana minyoo ya aina mbili :-
[emoji117] MINYOO YA AMIBA
[emoji117] MINYOO YA KICHOCHO
Tume tumia dawa za minyoo hiyo lakini wapi haijasaidia kitu. Tukarudi tena wakampa dawa ya allergy nayo haijasaidia kitu. Kwahiyo kwa yeyote anaeweza jua huu ugonjwa na dawa yake atuambie tafadhali, pengine labda na wewe umewahi kuugua ugonjwa huu tunaomba msaada wako ahsante
b7a162faf5f29ed0b93d2d52b640ddca.jpg
Hiyo picha ulioiweka haioneshi vizuri,Lakini hata hivyo inaonekana ni aina fulani ya vipele.Kama ulienda hospitali akapimwa na ukaambiwa ana minyoo na amiba basi huyu aliekuhudumia sio daktari wa hospitali za kisasa labda ni zile hospitali za akina dr.Mwaka au ulihudumiwa na mganga wa kienyeji.Ndugu hapo hujapewa huduma yeyote bali jamaa amekudhihaki tu, nenda hospitali ya maana ukatibiwe!!!.
 
Ahsante mkuuuuu
 
Kama simu yako haioneshi kwanini uliuliza ujinga? Si ungeuliza kiiungo gani tu ingetosha.

Nnajuwa kosa ni la mama'ko si wewe. Mitoto kama nyie isiyojuwa baba zao ni akina nani ndivyo mlivyo.
Duhuuu tusi la mwaka mpya 2016-2017
 
Mkuu niliangalia vibaya maana kila nikigeuza simu nilikuwa sielewi ndio maana nikahoji ila baada ya kupewa majibu ya kuumiza moyo nimeweza kuielewa hiyo picha.
Pole namimi nimeangaika kweli kuielewa picha nashukuru uhanga wako wa kukoga matusi nami nimefaidika kueleweshwa na kuielewa
 
Mama yangu na wewe hamna hata tofauti kwa sababu nahisi hata watoto wako wapo hivyo ndio maana imekuwa rahisi kwako kujua tabia yangu mapema kiasi hiki.

Nitakufuata PM ili tusichafue uzi wa watu hapa maana wewe unaonekana ni mtamu sana bibi.

Unaonesha hata mama'ko huwa unamfata pm.

Wewe ndiyo wale ambao kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie baba'ko.
 
Emb cheki hapa

Neurofibromatosis - Wikipedia

Sina uhakika na hili suala na nani tumaini rafiki/ndugu yako sio hili linalomsumbua.

Mkuu huo ugonjwa Kwenye Wikipedia NI tofauti Na wa warafiki wa mtoa mada.
NI vizuri akapimwe Muhimbili ili ajuwe NI nini
Yupo mchangiaji mmoja aliandika atopic dermatitis nime Google nimeona inaweza kuwa ndio ugonjwa wenyewe Muhimu akapimwe
 
Pole Sana mkuu
1. Minyoo ulio ambiwa ya Amiba ni. Aina ya minyoo kitaalam inaitwa Entamoeba histolytica
huwa inapimwa kupitia choo Kubwa.

2. Minyoo ya kichocho. inaitwa Schistosoma haematobium
Huwa inapimwa kwenye choo ndogo yaaani mkojo

unamsaidiaje sasa?
 
Unaonesha hata mama'ko huwa unamfata pm.

Wewe ndiyo wale ambao kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie baba'ko.
Mchawi huwa anamjua mchawi mwenzie.

Bibi kwa huo umri uliojaliwa kuishi bado ungali unachuma dhambi kwa kushindwa kudhibiti hisia zako tu.
Any way ngoja nikuache maana mkikaribia kufa wazee kama nyinyi huwa mnatafuta sababu tu. Mwisho wajukuu zako waje kuhangaika na hii ID yangu waseme huyu ndiye aliyesababisha kifo cha bibi yetu.

Ila ujifunze ustaarabu usipende kudandia treni kwa mbeli utaumia siku moja.
 
Si unaona ulivyo mjinga. Wewe unajuwa ataetangulia nani kati yangu na yako?
 
Back
Top Bottom