Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 16,388 Reaction score 51,970 Jul 29, 2023 #41 Ngorunde said: Kama wewe ni daktari kweli, basi wagonjwa tuna wakati mgumu sana. Kwa kauli kama hizi....ndio maana watu wengi wanaenda hospitali wakiwa wamechelewa sana. Click to expand... Hahah😂😂
Ngorunde said: Kama wewe ni daktari kweli, basi wagonjwa tuna wakati mgumu sana. Kwa kauli kama hizi....ndio maana watu wengi wanaenda hospitali wakiwa wamechelewa sana. Click to expand... Hahah😂😂
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Jul 29, 2023 #42 Duhh pole sana
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,949 Reaction score 24,046 Jul 29, 2023 #43 Ngorunde said: Kama wewe ni daktari kweli, basi wagonjwa tuna wakati mgumu sana. Kwa kauli kama hizi....ndio maana watu wengi wanaenda hospitali wakiwa wamechelewa sana. Click to expand... Kamkosea sana mgonjwa, ila kama ilikuwa ni swala la utani na aliyemquote basi hewala.. Ni kosa kubwa sana kumkatisha mgonjwa tamaa. Just as if, alichoambukizwa ni kibaya kitamuondoa kesho. Huyu atapona, hata kama itachukua muda mrefu kidogo.
Ngorunde said: Kama wewe ni daktari kweli, basi wagonjwa tuna wakati mgumu sana. Kwa kauli kama hizi....ndio maana watu wengi wanaenda hospitali wakiwa wamechelewa sana. Click to expand... Kamkosea sana mgonjwa, ila kama ilikuwa ni swala la utani na aliyemquote basi hewala.. Ni kosa kubwa sana kumkatisha mgonjwa tamaa. Just as if, alichoambukizwa ni kibaya kitamuondoa kesho. Huyu atapona, hata kama itachukua muda mrefu kidogo.
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Jul 29, 2023 #44 Ngorunde said: Kama wewe ni daktari kweli, basi wagonjwa tuna wakati mgumu sana. Kwa kauli kama hizi....ndio maana watu wengi wanaenda hospitali wakiwa wamechelewa sana. Click to expand... nafikiri umenielewa vibaya mkuu
Ngorunde said: Kama wewe ni daktari kweli, basi wagonjwa tuna wakati mgumu sana. Kwa kauli kama hizi....ndio maana watu wengi wanaenda hospitali wakiwa wamechelewa sana. Click to expand... nafikiri umenielewa vibaya mkuu