Msaada: Huu ni ugonjwa gani?

Msaada: Huu ni ugonjwa gani?

Kama wewe ni daktari kweli, basi wagonjwa tuna wakati mgumu sana.

Kwa kauli kama hizi....ndio maana watu wengi wanaenda hospitali wakiwa wamechelewa sana.
Hahah😂😂
 
Kama wewe ni daktari kweli, basi wagonjwa tuna wakati mgumu sana.

Kwa kauli kama hizi....ndio maana watu wengi wanaenda hospitali wakiwa wamechelewa sana.
Kamkosea sana mgonjwa, ila kama ilikuwa ni swala la utani na aliyemquote basi hewala..

Ni kosa kubwa sana kumkatisha mgonjwa tamaa. Just as if, alichoambukizwa ni kibaya kitamuondoa kesho.

Huyu atapona, hata kama itachukua muda mrefu kidogo.
 
Back
Top Bottom