Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Yeah ni kweli 😌kikubwa awahi hospitali japo ni kwa kuchelewa ni bora kuliko kutofika kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ni kweli 😌kikubwa awahi hospitali japo ni kwa kuchelewa ni bora kuliko kutofika kabisa
Wanatishia[emoji23][emoji23]nyie madokta hapana kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Yani mgonjwa anaweza kufa kwa hofu 🤣🤣🤣
tabia za wanaume ni kupuuza mambo na kuyachukulia kwa udogo, huyu bila bakora hatofika hospitali majuzi nimepokea kijana mmoja kaumwa na buibui alikua kabakisha dk30 habari yake ingekuwa nyingine kilicho msukuma kuja ni bada ya mkono kuwa mzito ghafla la sivyo asingekuja.Wanatishia[emoji23][emoji23]
Aisee 🤔🤔tabia za wanaume ni kupuuza mambo na kuyachukulia kwa udogo, huyu bila bakora hatofika hospitali majuzi nimepokea kijana mmoja kaumwa na buibui alikua kabakisha dk30 habari yake ingekuwa nyingine kilicho msukuma kuja ni bada ya mkono kuwa mzito ghafla la sivyo asingekuja.
Mh! wewe hivi bado kuna Binadamu wanatumia Ndom aiseeh!?pole sana ,umewahi kushiriki ngono zembe,umebadili mazingira au kula kitu kipya hivi karibuni
Na ugonjwa mpaka ufike stage hio ni uzembe wa hali ya juu dalili za mwanzo zingetosha kuenda hospitali mapema sanabinafsi nilivyo ona kwenye mkono kama hali ipo hivyo huwenda viganja vimeadhirika zaidi na kama ana vipele vya homa mdomoni kwisha mchezo
Mwenza kama yupo mmoja ila kama alichovya chovya kazi ipo.kwakweli awahi hospitali yeye na mwenza wake kabla hali haijawa mbaya zaidi 😌😌
Jamani mbavu zangu 😂😂,, usikute mgonjwa mwenyewe kashakufa kwa hofu maana sio kwa maneno haya🤣🤣🤣🙌Mwenza kama yupo mmoja ila kama alichovya chovya kazi ipo.
Pumbafu kabisa. Hujui hospital zilipo? Unaleta hapa utapataje msaada bila daktari kufanya diagnosis?
Anza vipele akijikuna kama anaviongeza baada ya kutumia dawa ya kupaka na kujuwa Hali ndiyo hiyoWewe kuna sabuni au vipodozi umetumia vimekudhuru tafuta Daktari wa magonjwa ya ngozi akusaidie ubaya hio ipo ndani ya ngozi na ishafika kwenye mzunguko wa damu yaani hapo unaenda kupatiwa dawa ya kupaka na kumeza ili kuuondoa huo ugonjwa wako, angalieni na vipodozi mnavyopaka wakati mwingine sio kila sabuni ni rafiki kwa ngozi yako
Kama wewe ni daktari kweli, basi wagonjwa tuna wakati mgumu mno.binafsi nilivyo ona kwenye mkono kama hali ipo hivyo huwenda viganja vimeadhirika zaidi na kama ana vipele vya homa mdomoni kwisha mchezo
Hio sababu ni sabuni na vipodozi vikali anavyopakaa mwiliniIla
Anza vipele akijikuna kama anaviongeza baada ya kutumia dawa ya kupaka na kujuwa Hali ndiyo hiyo