Msaada: Huyu dada anataka nini?

Msaada: Huyu dada anataka nini?

Ni vizuri ukawa na standard ukisikia MTU kaolewa au ukisikia MTU ni single mother hizo namba zitakusumbua Sana na Kama sio kukutoa katika reli (ramani) utapata mikosi.

Kuwa na standard don't be cheap ,kuna wanawake wengi wanaingia sokoni everyday wanahitaji watu na wapo under 23. Yrs Ila wewe unabaki kupambania mipira iliyokufa

Be smart.
 
Habarini jamani,

Kuna binti niliwahi kuwa katika mahusiano nae miaka ya nyuma kipindi tupo secondary lakini mahusiano yetu yalivunjika mara baada ya sote kujiunga na chuo

Kwa sasa ni mke wa mtu na siku moja alinipigia na kunipa habari kwamba kwa sasa ameolewa hakuwa na namba yangu lakini nilikuja kugundua aliipata kwa rafiki yake ambae bado nilikuwa nawasiliana naye.

Sasa shida ni kwamba ananitafuta mara kwa mara anapenda sana Ile Hali ya kuongea na Mimi Kwa muda mrefu kitu ambacho nilishamwambia me nsha move on Ila hasikii anapiga kila wakati nilimdanganya kwamba nimeshaoa pia ili apunguze but haisaidii inafikia mpaka ananiomba pesa je huyu binti anataka nini?

Anataka urafiki, bado ananipenda au anataka aniangushe tena Kwa mara ya pili?
Inawezekana anataka kupanga safu yake mpya ya baraza la wazinzi..
Keep calm unaweza kuwa waziri mkuu
 
Back
Top Bottom