Msaada: Huyu ni tapeli au sio wakuu?

Hizo informations ukirelease tuu umeumia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nlikuwa na huyo alijifanya mwanajesho ambae yupo afghanistani nikawa namchora tu anavyonirushia vitu with evidence plus picha zake nikampata nilivyokuwa namngangania nimpigie video call kilichofata nilichezea block nkabakia nacheka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ipo sana mkuu. Hao wanajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu ndio maana nimekuja kupata ushauri hapa. Je hizo info hapo anazozitaka zinatosha kumuibia mtu? Je akitaka account alafu nikimwambia nifungue separate account ambayo mimi nikuwa siitumii nitakuwa nimekisea? Hayo tu wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nini ambacho huelewi baada ya kushauriwa na wadau. Huyo jamaa ni tapeli...sasa ya nini kutuma account details hata kama huitumii?

Mpotezee mazima kabisa....ukiendelea kumpa taarifa atakuliza.
 
Mi nakumbuka hii ilinitokea sijui ni uyu uyu alidai na yeye mzee wake amefariki kamuachia madolari ya kutosha..it was 2013
 
usiwe m'bishi kama mshipa, wadau wamekupa dodoso nzima kama uyo ni scammer, bado umeng'ang'ana tu,

nenda kipigwe sasa
 
Nakumbuka niliwasiliana na mdada akasema ameachiwa mali na mzee wake
So anataka anitumie mahela kisha aje tuishi pamoja...!!

Akataka details nkamtumia...nakumbuka nilikuwa na miaka 20...nliona n bahati

Kimbembe kikaja akataka nimtumie hela ili hela zije kwangu....!!yan nilipie kama ushuru ili transfer ifanyike

Hapo ndo nkaona manyanga...nkamlia bati...

Hao hua n matapeli....atatumia hzo informations zako kuingia kweny akaunt na kuwithdraw pesa kama unazo lkn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…